Lipia kitanda cha chuma kwa awamu

Lipia kitanda cha chuma kwa awamu

Mbona kidogo kwa hiyo 500000? Hapana punguza bei ndugu hali ni mbaya
Siyo hali mbaya tu bali haviuzwi hiyo bei...ukivitaka putia baadhi ya marnro wana dizaini nyingi na bei nzuri...kwa mfano hicho ni laki na nusu ama elf 90...sasa sijui yeye kaamkia wapi huyu kuibia watu.
Kama hela rahisi hivyo auze 1milion kabisa
 
Maduka mawaili temeke nao wanauza reasoble bei...
 
Naona kwa mbed wake huu huko tandele anawakamatia sana watoto wakale naona na shuka ya kudalizi
 
Siyo hali mbaya tu bali haviuzwi hiyo bei...ukivitaka putia baadhi ya marnro wana dizaini nyingi na bei nzuri...kwa mfano hicho ni laki na nusu ama elf 90...sasa sijui yeye kaamkia wapi huyu kuibia watu.
Kama hela rahisi hivyo auze 1milion kabisa
Wala usihangaike, Lamu wanatoa BURE Nenda.
 
Wala usihangaike, Lamu wanatoa BURE Nenda.
Ficha ujinga wako ww.....huku ni mtandao kuna watu wa kila aina usidhan umekuja huku ukiwa na mawazo ya kwamba watu wote humu wametoka matombo juzi kwa hiyo ukaona rahisi tu kutapeli watu....si ulalie mwenyewe sasa unauza vya nini?
 
Kwanza bei yako ni kubwa sana, kuna vutanda niliona vinatengenezwa pale mwananyamala, aisee ni vizuri, wanatumia black pipe nene, sijui ni inchi ngapi, yaani vinavutia kwakweli na price zao ni 350000 tu, sasa hichi cha kwako siajona kwanini unakiuza laki tano.
Ingawa biashara ni matangazo, lakini angalau bei ifanane na uhalisia.

idea ya kulipa kwa instalment ni nzuri lakini
Instalment yake ingekuwa na maana kama ukilipa nusu unapewa kitanda then baada ya muda unamalizia hela iliyobaki
 
Kizuri ila kwa bei iyo hapana,kumbuka hii ni awamu nyingine
 
Vitanda vya chuma vimerudi? Vilikuwapo miaka ya 1980. Ni vya kishamba sana....
 
Kawe kuna vitanda vizuri sana kuliko hicho kituko ulichokiweka hapo na bei hiyo ha ha ha ha
 
Kwa bei hyo mm nkupa vitanda viwili vya 5*6 ndani ya siku 4 tu.
 
Habari wakuu.
Kutokana na hali ya kifedha iliyopo, si wengi wanaomudu kufanya manunuzi kwa fedha taslimu.

Hivyo, sisi DARAJANI FURNITURES tunakutengenezea kitanda cha chuma kwa kulipia awamu mbili.

Mfano kitanda hiki pichani ni futi 5 * 6 na bei yake ni shilingi laki tano(500,000/-) ambapo utalipa laki mbili na nusu(250,000/-) na kuanza kutengenezewa, ukija kumalizia laki mbili na nusu(250,000/-) utakabidhiwa kitanda ndani ya wiki moja toka ukamilishe malipo ya pili. Tunashauri malipo ya pili yawe ndani ya siku 30 toka yale ya awali.

Tupo Daraja jipya Kigamboni"
Simu:0713-039875

View attachment 431902

View attachment 431903
Jiulize kwa nn Pepsi na Coca cola zimeshuka bei hadi 500, kwa nn Halotel wana kifurushi cha 100/= chips bando, kwa nn nyama na kuku havikupanda bei sikukuu hizi, utajua umuhimu wa kukwepa faida kubwa ili uuze
 
Aisee basi sawa, ila laki tano ni pesa nyingi, kiuhalisia hiko kitanda ni kibaya hakivutii, pili shuka la kizamani mno, tatu gharama ulizotengenezea hazizidi 200,000pamoja na muda wako, mwisho kiuze 250,000tsh waweza bahatisha wateja
 
Habari wakuu.
Kutokana na hali ya kifedha iliyopo, si wengi wanaomudu kufanya manunuzi kwa fedha taslimu.

Hivyo, sisi DARAJANI FURNITURES tunakutengenezea kitanda cha chuma kwa kulipia awamu mbili.

Mfano kitanda hiki pichani ni futi 5 * 6 na bei yake ni shilingi laki tano(500,000/-) ambapo utalipa laki mbili na nusu(250,000/-) na kuanza kutengenezewa, ukija kumalizia laki mbili na nusu(250,000/-) utakabidhiwa kitanda ndani ya wiki moja toka ukamilishe malipo ya pili. Tunashauri malipo ya pili yawe ndani ya siku 30 toka yale ya awali.

Tupo Daraja jipya Kigamboni"
Simu:0713-039875

View attachment 431902

View attachment 431903
Ishu siyo bei mkuu,
Ishu ni kitanda kimekaa kishamba sana,
Tengeneza kitu simple lkn finishing Kali,
Hilo limekaa km mkia wa tausi hovyo sana,kuweni wabunifu,na km mmedandia fani tafuteni watu wsnawadizainia ninyi mnachoma
Subiri nikuoneshe kitu simple lkn kikali,
Bomba zenyewe sq pipe zinapinda hizo
Weka round pipe,punguza maua maana hatulali na nyuki wanaopenda maua
 
Back
Top Bottom