Malyenge
JF-Expert Member
- Jan 16, 2012
- 6,658
- 3,664
Ushamba gani tena?Aisee ficha ushamba wako kwa kukaa kimya unajiaibisha
Uliza kwanza,

Habari wakuu.
Kutokana na hali ya kifedha iliyopo, si wengi wanaomudu kufanya manunuzi kwa fedha taslimu.
Hivyo, sisi DARAJANI FURNITURES tunakutengenezea kitanda cha chuma kwa kulipia awamu mbili.
Mfano kitanda hiki pichani ni futi 5 * 6 na bei yake ni shilingi laki tano(500,000/-) ambapo utalipa laki mbili na nusu(250,000/-) na kuanza kutengenezewa, ukija kumalizia laki mbili na nusu(250,000/-) utakabidhiwa kitanda ndani ya wiki moja toka ukamilishe malipo ya pili. Tunashauri malipo ya pili yawe ndani ya siku 30 toka yale ya awali.
Tupo Daraja jipya Kigamboni"
Simu:0713-039875
View attachment 431902
View attachment 431903
Vitu simple lkn finishing Kali,Du! Aisee hivyo vitanda vyako wala havivutii na wala haviendani na hiyo bei. Kwakukusaidia ngoja nikuonyeshe vitanda vya chuma vyenye hadhi hata ukiambiwa laki 5 huwezi lalamika joh..... Just take a lookView attachment 432144View attachment 432145View attachment 432146View attachment 432147
Vitanda vya chuma vya kizamani??Ushamba gani tena?
Ndiyo ni vya kizamani. Au kuna twlechnolojia mpya imevunbua vitanda vya chuma?Vitanda vya chuma vya kizamani??
Habari wakuu.
Kutokana na hali ya kifedha iliyopo, si wengi wanaomudu kufanya manunuzi kwa fedha taslimu.
Hivyo, sisi DARAJANI FURNITURES tunakutengenezea kitanda cha chuma kwa kulipia awamu mbili.
Mfano kitanda hiki pichani ni futi 5 * 6 na bei yake ni shilingi laki tano(500,000/-) ambapo utalipa laki mbili na nusu(250,000/-) na kuanza kutengenezewa, ukija kumalizia laki mbili na nusu(250,000/-) utakabidhiwa kitanda ndani ya wiki moja toka ukamilishe malipo ya pili. Tunashauri malipo ya pili yawe ndani ya siku 30 toka yale ya awali.
Tupo Daraja jipya Kigamboni"
Simu:0713-039875
View attachment 431902
View attachment 431903
Mbona sioni hapo mmempa unafuu gani mtejaHabari wakuu.