Angalau useme hivyo ndugu yanguNashukuru kwa mrejesho. Bei ni negotible, inaweza shuka. Lakini mkumbuke unalipa kwa installments, kuna storage cost, ulinzi pia unaweza kufanyiwa home delivery. Karibuni.
Issue siyo kujifanya critic, issue ni biashara, mimi nimeshakaa kwenye biashara, mfanyabiashara huwa ana tabia ya kujua counter part wake bei za bidhaa zipoje ili waende sawa, kitu kingine unachosahau wateja wengi wana ile kitu ya consumer behaviour, atataka ajue ni wapi kuna fair price, labda kama huna experience ya biashara, kitu kingine ni quality ya product unayotoa, ndiyo maana kuna vitanda mpaka vya milioni kadhaa.350,000 bado ghali Nenda LAMU utapewa bure.
Hii tabia ya watu kujifanya 'critics' kwenye biashara za watu mnakera Argrr!
Kitanda cha laki 280000 au 250000 unauza laki 5. Kweli wabongo tumezoea wizi. Kawauzie wezi wenzako.Habari wakuu.
Kutokana na hali ya kifedha iliyopo, si wengi wanaomudu kufanya manunuzi kwa fedha taslimu.
Hivyo, sisi DARAJANI FURNITURES tunakutengenezea kitanda cha chuma kwa kulipia awamu mbili.
Mfano kitanda hiki pichani ni futi 5 * 6 na bei yake ni shilingi laki tano(500,000/-) ambapo utalipa laki mbili na nusu(250,000/-) na kuanza kutengenezewa, ukija kumalizia laki mbili na nusu(250,000/-) utakabidhiwa kitanda ndani ya wiki moja toka ukamilishe malipo ya pili. Tunashauri malipo ya pili yawe ndani ya siku 30 toka yale ya awali.
Tupo Daraja jipya Kigamboni"
Simu:0713-039875
View attachment 431902
View attachment 431903
Hahaha aisee wewe ni noma mpaka unakumbuka bibi alivyokuwa akikubadilisha nepi ulikuwa na miaka mingapi kipindi hicho bado ulikuwa ukilala na dad na mummy hahaaa [emoji85] [emoji87]teh teh nimemkumbuka bibi yangu akinibadilisha nepi
haahaha haya kalipe advanceHiki kitanda kinafaa kwa doggy style*
afu wewe nimekumiss sana! upo?haahaha haya kalipe advance
Mwananyamala ehemu gani ?naomba iunielekeze in-box kama hautojari nahitajiKwanza bei yako ni kubwa sana, kuna vutanda niliona vinatengenezwa pale mwananyamala, aisee ni vizuri, wanatumia black pipe nene, sijui ni inchi ngapi, yaani vinavutia kwakweli na price zao ni 350000 tu, sasa hichi cha kwako siajona kwanini unakiuza laki tano.
Ingawa biashara ni matangazo, lakini angalau bei ifanane na uhalisia.
idea ya kulipa kwa instalment ni nzuri lakini