Lipia kitanda cha chuma kwa awamu

Lipia kitanda cha chuma kwa awamu

Dr. Zaganza

JF-Expert Member
Joined
Jul 15, 2014
Posts
1,761
Reaction score
2,674
Habari wakuu.
Kutokana na hali ya kifedha iliyopo, si wengi wanaomudu kufanya manunuzi kwa fedha taslimu.

Hivyo, sisi DARAJANI FURNITURES tunakutengenezea kitanda cha chuma kwa kulipia awamu mbili.

Mfano kitanda hiki pichani ni futi 5 * 6 na bei yake ni shilingi laki tano(500,000/-) ambapo utalipa laki mbili na nusu(250,000/-) na kuanza kutengenezewa, ukija kumalizia laki mbili na nusu(250,000/-) utakabidhiwa kitanda ndani ya wiki moja toka ukamilishe malipo ya pili. Tunashauri malipo ya pili yawe ndani ya siku 30 toka yale ya awali.

Tupo Daraja jipya Kigamboni"
Simu:0713-039875

IMG_20161107_062727.jpg

IMG_20161107_062800.jpg
 
Kwanza bei yako ni kubwa sana, kuna vutanda niliona vinatengenezwa pale mwananyamala, aisee ni vizuri, wanatumia black pipe nene, sijui ni inchi ngapi, yaani vinavutia kwakweli na price zao ni 350000 tu, sasa hichi cha kwako siajona kwanini unakiuza laki tano.
Ingawa biashara ni matangazo, lakini angalau bei ifanane na uhalisia.

idea ya kulipa kwa instalment ni nzuri lakini
 
Hicho kitanda kilivyo hata akiweka shuka la malu malu mimi ntakiogopa I see, nywele zangu zisije zikakwamia kwenye hayo machuma mithili ya maua
Hahahaha tuachie sie wenye upara wetu tulalie chuma[emoji1]
 
Habari wakuu.
Kutokana na hali ya kifedha iliyopo, si wengi wanaomudu kufanya manunuzi kwa fedha taslimu.

Hivyo, sisi DARAJANI FURNITURES tunakutengenezea kitanda cha chuma kwa kulipia awamu mbili.

Mfano kitanda hiki pichani ni futi 5 * 6 na bei yake ni shilingi laki tano(500,000/-) ambapo utalipa laki mbili na nusu(250,000/-) na kuanza kutengenezewa, ukija kumalizia laki mbili na nusu(250,000/-) utakabidhiwa kitanda ndani ya wiki moja toka ukamilishe malipo ya pili. Tunashauri malipo ya pili yawe ndani ya siku 30 toka yale ya awali.

Tupo Daraja jipya Kigamboni"
Simu:0713-039875

View attachment 431902

View attachment 431903

Mbona kidogo kwa hiyo 500000? Hapana punguza bei ndugu hali ni mbaya
 
aisee hicho kitanda kwa bei hiyo mkuu bora ushushe bei kwa kweli
 
Habari wakuu.
Kutokana na hali ya kifedha iliyopo, si wengi wanaomudu kufanya manunuzi kwa fedha taslimu.

Hivyo, sisi DARAJANI FURNITURES tunakutengenezea kitanda cha chuma kwa kulipia awamu mbili.

Mfano kitanda hiki pichani ni futi 5 * 6 na bei yake ni shilingi laki tano(500,000/-) ambapo utalipa laki mbili na nusu(250,000/-) na kuanza kutengenezewa, ukija kumalizia laki mbili na nusu(250,000/-) utakabidhiwa kitanda ndani ya wiki moja toka ukamilishe malipo ya pili. Tunashauri malipo ya pili yawe ndani ya siku 30 toka yale ya awali.

Tupo Daraja jipya Kigamboni"
Simu:0713-039875

View attachment 431902

View attachment 431903
Wenzenu Arusha hivyo vitanda ni hiyo 250,000/= yaani unapata viwili kwa bei hiyo!!
 
Mbona kibaya sana kwa hiyo bei. Jamani tuheshimu PESA YA KITANZANIA tafadhalini, acheni hizo tabia hebu tengenezeni kitu kinachofana na gharama halisia. Ni ushauri tu!
Nashukuru kwa mrejesho. Bei ni negotible, inaweza shuka. Lakini mkumbuke unalipa kwa installments, kuna storage cost, ulinzi pia unaweza kufanyiwa home delivery. Karibuni.
 
Kwanza bei yako ni kubwa sana, kuna vutanda niliona vinatengenezwa pale mwananyamala, aisee ni vizuri, wanatumia black pipe nene, sijui ni inchi ngapi, yaani vinavutia kwakweli na price zao ni 350000 tu, sasa hichi cha kwako siajona kwanini unakiuza laki tano.
Ingawa biashara ni matangazo, lakini angalau bei ifanane na uhalisia.

idea ya kulipa kwa instalment ni nzuri lakini
350,000 bado ghali Nenda LAMU utapewa bure.

Hii tabia ya watu kujifanya 'critics' kwenye biashara za watu mnakera Argrr!
 
Back
Top Bottom