Hahaha! Yaani na hivi unampa supu, ndio hatapona kabisaaa! Anza kumkorogea uji wa limao!..lol.yani ni madeko kwa kwenda mbele ndo nimetoka kumpa supu hapa, haya ntakungojea
Hahaha! Yaani na hivi unampa supu, ndio hatapona kabisaaa! Anza kumkorogea uji wa limao!..lol.
Kwenye manunuzi yako ya leo matunda usiweke ntakuja nayo jioni.
Mie nikimpgia mtu afu akakata namgia tena namwuliza mbona umekata kwani umepiga wewe? Nna dadangu ana hiyo tabia, hujamaliza neno la mwisho anakata wakati hajapiga yeye.Namba 5 ni ujinga na ubahili wa kurithi aisee! Mwingine anaweka kidole pakukatia kbs, ka vile yy ndo aliyepiga.
Hahaha! Haya bana, sipingani na unachokiamini stevoh.
unamnunulia mumeo boxers za kufanana kaa seti hivi, halafu akilalamika unamuuliza kwani kuna ubaya gani? Anakujibu eti 'watu' watadhani yeye anavaa hiyo hiyo kila siku!
1. Kujiita romantic wakati uko single.
2. Kung'arisha viatu wakati unaenda kupiga passport size.
3. Kukaa kiti cha mbele karibu na dereva halafu unamwambia konda shusha.
4. Kumwamsha mgonjwa ili umpe dawa ya usingizi.
5. Kupigiwa simu hafafu unaangalia balance yako.
6. Kutafuta remote ya TV for ten minutes wakati TV ipo karibu yako
7. Kupunguza sauti ya radio ili usome sms.
8. Kukataa kupima wakati unataka uishi kwa afya njema.
Huyo mume atakuwa havai sarawili au?.. Ana lake jambo lol.unamnunulia mumeo boxers za kufanana kaa seti hivi, halafu akilalamika unamuuliza kwani kuna ubaya gani? Anakujibu eti 'watu' watadhani yeye anavaa hiyo hiyo kila siku!
Kongosho hii imenigusa. tehe!