Lipi Bora?

Naendelea vizuri sana na therapy, ila leo nina hamu sana na LIVE BAND ya Kalunde pale New Africa. I hope sitaingia majaribuni nikiwa pale! :)
icon10.gif

I will watch ur back bila fee (another waiver...dayyyyyyyyyyyyym) naharibu profession tu!!!
 
I will watch ur back bila fee (another waiver...dayyyyyyyyyyyyym) naharibu profession tu!!!

You will be rewarded the other way round! Huwezi kujua, pengine come 2011 utakuwa pale Ubalozini kupokea zile tuzo walizokwishapokea akina Kilango Malecela na Ananilea Nkya! :)
icon10.gif

Keep waiving my dear! Kwa afya yangu tu lakini!
 
mwaya umeona eeeh!!! yaani anataka za wawili tu (lucky them)

BTW; mwenzio namis ngubiti jamani.....

naona kama siku hizi hazipo...sukari guru adimu...poor hawa new generation...hawaenjoy kabisa
 
Twin imagn shemeji yako .............. watu wanakula,na unajua jinsi navyo mpenda yani sioni mtu mwingine zaidi yake sasa unadhani nikimuacha ndo ataacha tabia yake?si ndo atafanye kwa juudi zote coz anajua ntatoa siri pia ana stress?muhimu ni kukaa nae na kumuelezea madhara yake,twende hsp counclellng na mengineyo yafuate maana huyu ni mume rememba?lazima iwe siri yetu,aibu yake ni yangu,plz Twinuska undstend

alafu wee twinushka kuna mahali nimemkuta huyo............tutaongea!!!

twin weee mie ntamsamehe akichafua na mwanamke mwenzangu(tena sio ndo avimbe bichwa)
ila huo uchafu mwingine sina choice
 
alafu wee twinushka kuna mahali nimemkuta huyo............tutaongea!!!

twin weee mie ntamsamehe akichafua na mwanamke mwenzangu(tena sio ndo avimbe bichwa)
ila huo uchafu mwingine sina choice

Mmmh! Mbona unataka kuharibu weekend ya wenzio tena?
icon10.gif
 
naona kama siku hizi hazipo...sukari guru adimu...poor hawa new generation...hawaenjoy kabisa

aaaaah nimekusoma!!!! wana mapipi na chocolate yanayotoka hapo kwa jirani
 
eeeh wapi tena TWin?Jaman c unaona hali ya hewa vichomi vimenikamata upya ,niambie Twin najua uchungu wa mume ww unaujua plz,angesema mwinhine ningejua wizi mtupu but u, iz me me iz u
alafu wee twinushka kuna mahali nimemkuta huyo............tutaongea!!!

twin weee mie ntamsamehe akichafua na mwanamke mwenzangu(tena sio ndo avimbe bichwa)
ila huo uchafu mwingine sina choice
 
eeeh wapi tena TWin?Jaman c unaona hali ya hewa vichomi vimenikamata upya ,niambie Twin najua uchungu wa mume ww unaujua plz,angesema mwinhine ningejua wizi mtupu but u, iz me me iz u

wala hata usiwe na wasiwasi hakuwa akifanya kitu mbaya wala....
ujue nimeona hii weather nikaesema ooooh here we go, tunaanza kuumwa sasa hivi!!!
take a gud care of urself for us twin eeh!!
 
Dunia imeharibika sana!
Wakati nasoma hii, nimekumbuka kisa cha mwanafunzi mmoja.... mtoto wa kiume ambaye kushuka kwake masomo kumefanya kazi ya ziada ifanyike.Kilichogundulika kimetisha!
Baba mzazi kaamua kumgeuza " mke"...... kwa kumdanganya " these are things daddies do with their sons..moms do special things with daughters..so dont tell anyone!"..... tuliosimuliwa kisa hiki tuliangua kilio......
having said that... huyo bwana bora akapumuliwe/pumulie wenzie huko nje!....
Binafsi im just fed-up na moral decay of our society!..nyumba ndogo is no longer an issue/threat! kuna surprises nyingi mno.... ndoa huenda zitakuja kufa tu siku moja!..wengine kazi zetu zinatufanye tuone na kusikia mengi kiasi ambacho tunashindwa hata kushangaa tena.
 
You will be rewarded the other way round! Huwezi kujua, pengine come 2011 utakuwa pale Ubalozini kupokea zile tuzo walizokwishapokea akina Kilango Malecela na Ananilea Nkya! :)
icon10.gif

Keep waiving my dear! Kwa afya yangu tu lakini!

ridhika basi, tunapoelekea naona utakuwa above the law sasa!!!
 
Back
Top Bottom