Lipi Bora?

Kiongozi hebu acha kunipandisha mzuka. Nikishakamata paya pale Up to date, ntapitia pale why not kushushia kiduchu. Then ntamcheki Eliza pale Zero pub kabla sijaja kukukamata hapo viola.

Preta kesha toa ruksa - na leo ni ijumaa - kwahiyo muhimu kufanya "survey" kidogo kabla ya kufika home.
 
my dia huo u f...... wake afanye huko mm nisijue,mwanamme mwanamme tu dia tusijidanganye kama akiamua kuweka makazi nje zea is no way utamzuia hata umpe nn!for me afanye atakavyo but kinga asisahau,pili mambo ya nyumbani muhim asisahau,tatu heshima iwepo yani I DONT WANNA KNW ANAFANYA NN,but hata nikiskia kwa mtu mm ni tomaso lazima nione then ntatoa maamuzi lkn for me hakuna kosa lisilo sameheka bana,.
Kwa hiyo utaendelea kubaki naye kwenye ndoa? Ila kama ungemfuma anatembea na mwanamke mwigine ndiyo mngeachana? :)
 
wacha bana:D:D:D

icon10.gif
icon10.gif
I hope you don't mean what I am thinking!
 
my dia huo u f...... wake afanye huko mm nisijue,mwanamme mwanamme tu dia tusijidanganye kama akiamua kuweka makazi nje zea is no way utamzuia hata umpe nn!for me afanye atakavyo but kinga asisahau,pili mambo ya nyumbani muhim asisahau,tatu heshima iwepo yani I DONT WANNA KNW ANAFANYA NN,but hata nikiskia kwa mtu mm ni tomaso lazima nione then ntatoa maamuzi lkn for me hakuna kosa lisilo sameheka bana,.

Hapo we shall (hapa masaki utasoma kitaaluma zaidi) differ to death!!!
 
sasa najua kwa nini Brigitta anatu-group mimi na wewe pamoja!!!!!!

Usijali dada. Kila shetani na mbuyu wake.

Sijakupata vizuri DC...Uchafu upi unaozungumzia? Wa mwanaume kuwa na mahusiano na mwanamek mwingine nje ya ndoa yake; AU uchafu wa mapenzi ya jinsia moja? Na je lipi bora au lipi lenye afadhali?

Kutembea nje ya mahusiano (ya mke na mume) ni uchafu tu. Sasa hayo unayoongelea ndo uchafu wenye uvundo wa ajabu na unaotishia amani. Purely devilish!
 
Hapo we shall (hapa masaki utasoma kitaaluma zaidi) differ to death!!!

Yaani hapo unamaanisha kwamba hapo kamwe hautakubaliana na Pearl hata kama ikibidi undugu au ule utwinistuka sijui ufe.........!!!
icon10.gif
 
Sasa nauliza nyie wanawake. lipi bora ugundue kwamba mumeo anatembea nje ya ndoa na mwanamke mwingine, au ugundue kwamba mumeo ni shoga na anapumuliwa kisogoni kwa siri na wanaume wenzie?
hakuna hata moja bora, yote ni ya kukemea na kuyalaani vikali!!!
 
Yaani hapo unamaanisha kwamba hapo kamwe hautakubaliana na Pearl hata kama ikibidi undugu au ule utwinistuka sijui ufe.........!!!
icon10.gif
haswaaa yani kukinzana hapo hakukwepeki ila kwenye red duh it shall never happen!!
 
I don't have enough oxygen in my brain right now, so I can't think loudly....!! Labda baadaye nikishafika kaunta!

afu sijafanya follow up ya ile project for a while now!!!

You wont mind updating me on that late right????
 
Usijali dada. Kila shetani na mbuyu wake.

Kutembea nje ya mahusiano (ya mke na mume) ni uchafu tu. Sasa hayo unayoongelea ndo uchafu wenye uvundo wa ajabu na unaotishia amani. Purely devilish!

Jamii yote inajua kwamba wote ni uchafu! Lakini ni mambo ambayo yapo na yanatokea kila siku kwenye jamii tunamoishi, ila huwa tunamwomba Mungu atuepushe nayo!

Sasa tufanye yameshatokea sasa kwamba,mwanamke mmoja amegundua kwamba mumewe ni shoga wa kisiri siri na mwingine amegundua kwamba mumewe anatembea nje ya ndoa na mwanamke mwingine, yupi ana afadhali?
 
Twin imagn shemeji yako .............. watu wanakula,na unajua jinsi navyo mpenda yani sioni mtu mwingine zaidi yake sasa unadhani nikimuacha ndo ataacha tabia yake?si ndo atafanye kwa juudi zote coz anajua ntatoa siri pia ana stress?muhimu ni kukaa nae na kumuelezea madhara yake,twende hsp counclellng na mengineyo yafuate maana huyu ni mume rememba?lazima iwe siri yetu,aibu yake ni yangu,plz Twinuska undstend
Hapo we shall (hapa masaki utasoma kitaaluma zaidi) differ to death!!!
 
afu sijafanya follow up ya ile project for a while now!!!

You wont mind updating me on that late right????

Naendelea vizuri sana na therapy, ila leo nina hamu sana na LIVE BAND ya Kalunde pale New Africa. I hope sitaingia majaribuni nikiwa pale! :)
icon10.gif
 
Back
Top Bottom