Lionel Messi

Nashindwa kuelewa kwa nini Maradona anashindwa kutengeneza timu yenye striker wakali kama Messi,Higuain,Milito,Aguero,Tevez
 
Heshima kwako Gang Chomba,

Kupenda wakati mwingine unaweza kuonekana kama chizi.Nakumbuka nilikuonya sana ulipokuwa unaipigia debe AC Milan kwamba watawafunga Manchester ukaamua kuweka pamba masikioni leo unakuja jamvini kumtetea mchezaji aliyepitwa na wakati.Dinho amepitwa na wakati kumpeleka SA itakuwa kosa kubwa kuwahii kufanywa na Brazil,tumwache abaki AC Milan na wachovu wenzake.

Kwahiyo Ngongo
Gang Chomba na Kundi la wabrazil wanaoshinda na kukesha beach na mitaani huku wakiwa na mabango ya kumshinikiza Dunga amchukue Saint Gaucho ni machizi?

Mnaosema the saint kachoka mnazungumzia vipi hili?
Au nyinyi mnaijua Brazil kuliko wabrazil?

Kila kona ya Dunia watu wanamshinikiza Dunga aweze kumchukua mtakatifu huyu je inamaana wooote hawajamuangalia The saint wa msimu huu so wamemkremisha Dinho wa kipindi kile tu?

Acheni mizengwe yenu ya kaseja na Maximo hiyo
 
heshima yako Gang Chomba,
naungana nawe ktk suala zima la dinho huyu ni mchezaji wa kipekee na kuna hatihati mpaka kizazi chetu kinapotea duniani hakuna wa kumlinganisha.nani anakumbuka kwa skills zake alipokuwa barca washabiki wa madrid walimshangilia?hivi leo huko milan anafanya mambo ya kutisha waulize wataliano.kama mna kumbukumbu waulize wafaransa alipokuwa PSG au kama mnabisha rudisha memory alipokuwa brazil kwao.DINHO HAFAI NA KAMA HATOCHUKULIWA SOUTH AFRICA LAANA YA BRAZIL HATA ROBO FAINALI KWAO NDO MAFANIKIO MAKUBWA
 
Nashindwa kuelewa kwa nini Maradona anashindwa kutengeneza timu yenye striker wakali kama Messi,Higuain,Milito,Aguero,Tevez

hapo ndio ufundi wa mwalimu unapoonekana,sio wachezaji tu,lazima utengeneze plays/systems zinakazo-suit aina ya wachezaji ulionao,angalia real madrid kuna ronaldo,kaka,benzema,higuain etc lakini wametolewa na LYON ambayo(shame on me) namjua mkameroni makoun tu!!its not about individuals its a team game.
 
heshima yako Gang Chomba,
naungana nawe ktk suala zima la dinho huyu ni mchezaji wa kipekee na kuna hatihati mpaka kizazi chetu kinapotea duniani hakuna wa kumlinganisha.nani anakumbuka kwa skills zake alipokuwa barca washabiki wa madrid walimshangilia?hivi leo huko milan anafanya mambo ya kutisha waulize wataliano.kama mna kumbukumbu waulize wafaransa alipokuwa PSG au kama mnabisha rudisha memory alipokuwa brazil kwao.DINHO HAFAI NA KAMA HATOCHUKULIWA SOUTH AFRICA LAANA YA BRAZIL HATA ROBO FAINALI KWAO NDO MAFANIKIO MAKUBWA

mkuu,heshima mbele,
nafikiri makocha wengi wakichagua timu pamoja na mambo mengi wanazingatia sana CURRENT FORM YA MCHEZAJI,kama unavyoelezea kwenye red hapo huyu jama its like history,mengi makubwa aliyoyafanya ni past,anachofanya na AC MILAN cha ajabu sikioni kwani kafunga magoli 12(6 penati),nothing special at all.
Saying that,nakubali jamaa alikuwa mkali sana PSG,world cup 2002 winner,barcelona ECL winner na deserved world player of the year,but that was THEN.
 
Karibu Emirates J4.

wacha1,I have a funny feeling Arsenal atashinda j4.my only worry wataweza kushinda kwa bila?i.e 2-0 au 1-0,kama unavyojua goli la ugenini ni issue CL.
Barca hawajapata test kama watakayopewa na Arsenal for a while,gunners wana speed na wana very dangerous one-touch football,sidhani katika wapinzani wengi barcelona kashakutana na kitu kama free-flowing gunners since walivyokutana 2006 CL final.
Timu zinazosumbua Arsenal ni well organised of which Barca isnt one of them,here im talking the like of MAN UTD,CHELSEA.
 
Kama mtakatifu Ronaldinho Gaucho ataanzisha Dini...
Basi ronaldo, messi, drogba, higuain, torres na wengine wooote watakuwa waumini...

Forza Milan
 
wacha1,I have a funny feeling Arsenal atashinda j4.my only worry wataweza kushinda kwa bila?i.e 2-0 au 1-0,kama unavyojua goli la ugenini ni issue CL.
Barca hawajapata test kama watakayopewa na Arsenal for a while,gunners wana speed na wana very dangerous one-touch football,sidhani katika wapinzani wengi barcelona kashakutana na kitu kama free-flowing gunners since walivyokutana 2006 CL final.
Timu zinazosumbua Arsenal ni well organised of which Barca isnt one of them,here im talking the like of MAN UTD,CHELSEA.

Karibu Emirates J4 tiketi bado zipo kwa wale wasiokuwa na tiketi za musimu lazima tuwabane na tuwape kichapo, si unaona Henry hataki kucheza, anafahamu nini kitatokea. Then wakati nyie majeruhi wanazidi sisi wanapona.

Naona huwa unasahau mapema sana msimu uliopita Chelsick tuliwakung'uta nyumbani kwao, vile vile Manure, huwa unaangalia mpira gani? Mwaka huu mmepata bahati ya mtende kwa sababu Van Perse alikuwa majeruhi hata hivyo bado tupo kwenye kinyang'anyiro sisi ni timu kubwa mazee donge tu unalo kooni.
 
kuwasumbua haina maana kuwa wanawafunga kila siku,ukilinganisha na timu zingine im sure niko sahihi 100% man utd na chelsea ndio wanawasumbua sana,
hapo kwenye red bold NO COMMENT.
 
kuwasumbua haina maana kuwa wanawafunga kila siku,ukilinganisha na timu zingine im sure niko sahihi 100% man utd na chelsea ndio wanawasumbua sana,
hapo kwenye red bold NO COMMENT.

Mkuu upinzani wa EPL ni timu tatu Arsenal, Manure na loserfools hawa Chelsick wameibuka jana tu baada ya Abraham o Vich kuibuka na fweza zake za kitapeli na subiri tu utaona jamaa anabwaga manyanga maana kasheshe sasa za european federation hawataki fweza za kimafia kuingia kwenye soka hivyo utaona Chelsick watakuwa na wakati mgumu kwa sababu moja kubwa hawana base ya mashabiki wa kuingia kwneye mechi zao kila wiki nk. Mpunga unaotoka kwenye TV rights na replica materials na adverts lazima uende sambamba na ushindi kwenye mechi kama hizi za mwisho za champion league. Anyway sasa tutaona kwenye CL nani zaidi maana Manure wakishinda mechi zao zote na Arsenal wakishinda tutakutana Spain tujue zipi mbivu.
 
KIBOKO YA MESSI HUYU HAPA There is only 1 EBOUE:D
ebouebeatsmessi1.gif
 
1.Messi hakuna Ubishi ni mwanasoka bora.
2.Rooney naye ni mchezaji mzuri ni mpiganaji.

Drogba hana nidhamu ahata akiwa mzuri kukosa nidhamu haistaili hata kuweko kwenye 5. Kuna mchezaji anaitwa Mamadou Niang. yuko france yul jamaa ni hatari. Wegi hapa tunaaangalia ligi ya UK sana na mechi chache za champions ndio maana tunaishia kuwataja wachezaji wa PL.
Nidhamu!!? You sound like Maximo (Maksio)a.k.a Kingwendu.
 
Kwa mujibu wa utafiti wa soka uliofanywa hivi karibuni, Dinho ni mchezaji bora wa muongo wa 2000-2010, nadhani Messi naye atakuwa mchezaji bora wa Muongo wa 2010-2020!
 
Kwa mujibu wa utafiti wa soka uliofanywa hivi karibuni, Dinho ni mchezaji bora wa muongo wa 2000-2010, nadhani Messi naye atakuwa mchezaji bora wa Muongo wa 2010-2020!

kwakweli kipindi hiki(2000-2007) jamaa aliwika then akaanza ku-fade,ila kiujumla for this decade(2000-2010) anaweza kuwa ni bora,but to date MESSI is exceptional!!!
 
Kwa mujibu wa utafiti wa soka uliofanywa hivi karibuni, Dinho ni mchezaji bora wa muongo wa 2000-2010, nadhani Messi naye atakuwa mchezaji bora wa Muongo wa 2010-2020!

Sasa hapo ndo mahasidi mkae chini na kutafakari coz kuanzia mwaka 2000 mpk 2010 hakuna kama saint Gaucho.

Na hapo ndo kuna kina De lima, Zidane, Figo, Bergkamp, Nesi, Drogba, Torres, Roney, lakini watu wenye akili timamu wakatafakari na kukubaliana kuwa hakuna mchezaji ktk miaka hii kumi kama mtakatifu Gaucho toka AC Milan.

Halafu humu JF watakurupuka wachambuzi koko na kuanza kuchuma dhambi kwa kumponda Saint Gaucho na kusifia vichezaji vyao ambavyo havijawahi hata kucheza au kuingia nusu fainali ya kombe la Dunia.

Gracia Dinho
Forza Milan...
 
BEST PLAYER EVER!!!

.

Ronaldo de Assis Moreira

[ame="http://www.youtube.com/watch?v=uRMggEPRBH4&feature=related"]YouTube- Ronaldinho is the Best[/ame]

someone need to be careful making conclusion after being excited in 90 minutes!
 
Anyone who will help his team to win home title, CL au WC kule sauzi is the best player (striker), hizi zingine ni kelele tu za mbu, net wala haina presha na kelele hizo.
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom