Gang Chomba
JF-Expert Member
- Feb 29, 2008
- 20,301
- 4,681
1. Messi
2. Ronaldo
3. Drogba
4. Robinho
5. Rooney
6. Henry
7. Torres
8.David villa
9. Van persie
10. Higuain
Mkuu ng'wanza madaso heshima mbele...
Nimesikitishwa sana na top 10 yako.
Naomba uifanyie marekebisho hiyo list yako kabla hujaandikwa kwenye kitabu cha hukumu huko mbinguni kwa baba.
Ni dhambi kubwa kuwaweka juu watu kama Robinho, higuain, sijui torres,drogba, henry, ronaldo halafu ukamuacha yule mtu ambae inasemekana kama mpira ungekuwa na mdomo basi ungeagiza kila dakika upelekwe kwa huyu muheshimiwa ili mbinguni na duniani wapate kuburudishwa.
Umenisikitisha sana.