Lini wataachia internet tupige mishe mitandao ya jamii?

Changes boy

JF-Expert Member
May 17, 2017
552
362
Google Service haifanyi kazi pamoja na Sms International and hazifiki. Sasa mimi mawasiliano yangu ni kwa internet, kutumia sms au call siwezi na namba za simu hazifiki Tatu. Niliformat simu halafu kwenye laini nilisave namba 1 tu, hapa hata kuingia play store siwezi.

Kama nipo gizani.
 
Google services zinafanya kazi kwangu sijui kwa wengine. Ila Youtube bado sipati.
Kuingia kwenye account ya Google haikubali sababu Google+ ni social network kwa hiyo unagoogle tu Ila kuingia hata Gmail hauwezi na VPN no, ni haramu halafu sipendi kuweka app ya nje ya playstore zinakuaga na mianya kwa wahalifu wa mitandao kuingia kupitia huo mwanya
 
Google service haifanyi kazi pamoja na sms international and hazifiki, Sasa Mimi mawasiliano yangu ni Kwa internet, kutumia sms au call siwezi na namba za simu hazifiki Tatu, niliformat simu halafu kwenye laini nilisave namba 1 tu, hapa hata kuingia play store siwezi.

Kama nipo gizani.
Tusubiri mpaka tar 11 labda

Sent from my SAMSUNG-SM-N920A using JamiiForums mobile app
 
Badili ISP wako wa sasa jaribu ISP zote zilizopo nchi, kuna moja ama mbili utazikuta ziko safi.
Google service haifanyi kazi pamoja na sms international and hazifiki, Sasa Mimi mawasiliano yangu ni Kwa internet, kutumia sms au call siwezi na namba za simu hazifiki Tatu, niliformat simu halafu kwenye laini nilisave namba 1 tu, hapa hata kuingia play store siwezi.

Kama nipo gizani.
 
Kuingia kwenye account ya Google haikubali sababu Google+ ni social network kwahiyo unagoogle tu Ila kuingia hata Gmail hauwezi na vpn no, ni haramu halafu sipendi kuweka app ya nje ya playstore zinakuaga na mianya kwa wahalifu wa mitandao kuingia kupitia huo mwanya
Gmail napata bila VPN
 
Back
Top Bottom