Lini wataachia internet tupige mishe mitandao ya jamii?

Lini wataachia internet tupige mishe mitandao ya jamii?

Huu ndio uchumi wa kati Mazee

CCM mbele kwa mbele Wahanga ni wote wapenda ccm na wasio ccm acha tuisome namba na huu ni mwanzo tu
Kwenye Uzi wangu usiweke Mambo ya chama itakua hauna akili kutumia mgongo wa chama
 
Labda walivyoiminya hiyo mitandao wameshindwa kuirudisha kawaida, ngoja tuzoee tu
 
Google Service haifanyi kazi pamoja na Sms International and hazifiki. Sasa mimi mawasiliano yangu ni kwa internet, kutumia sms au call siwezi na namba za simu hazifiki Tatu. Niliformat simu halafu kwenye laini nilisave namba 1 tu, hapa hata kuingia play store siwezi.

Kama nipo gizani.
Mbaya zaidi ukute ulipigia ccm kura

Sent from my SM-A515F using JamiiForums mobile app
 
Watakapojisikia wao...wanakera upuuzi tu.
 
Sizungumzii suala la kuingiza hela hapa...Nazungumzia suala la kushindana viewers....Elewa kwanza siyo kukurupuka tu kujibu.
Views ndio moja ya hela za YouTube zinavyotumika kulipa kwa Tanzania 1 dollar=1000 views kwa mwezi
 
Google Service haifanyi kazi pamoja na Sms International and hazifiki. Sasa mimi mawasiliano yangu ni kwa internet, kutumia sms au call siwezi na namba za simu hazifiki Tatu. Niliformat simu halafu kwenye laini nilisave namba 1 tu, hapa hata kuingia play store siwezi.

Kama nipo gizani.
Usiwe na wasiwasi, ni juhudi za awamu ya tano na ya sita, hata wasiporudisha hakuna shida, ni mwanzo tu wa maisha mengine yasiyoeleweka ndani ya miaka mitano ijayo

Enjoy every bit of it
 
Kuingia kwenye account ya Google haikubali sababu Google+ ni social network kwa hiyo unagoogle tu Ila kuingia hata Gmail hauwezi na VPN no, ni haramu halafu sipendi kuweka app ya nje ya playstore zinakuaga na mianya kwa wahalifu wa mitandao kuingia kupitia huo mwanya
Mi napata mitandao yotee kuanzia google but fb tu insta nimeanza kuipa tangu juzi na whatsap but fb tu siipati sasa tatizo sijui nini coz wengi hawapati insta
 
Nasikia baba jesca wa chato ana mpango wa kumtumbua mkurugenzi wa tcara ei kwa kuwa meseji zake za wasapu kwenda kwa kidoti wa kisarawe zimefeli kwenda toka juzi usiku
 
Back
Top Bottom