Mr Attorney
JF-Expert Member
- Mar 30, 2020
- 25,472
- 34,506
Kwani wasipoachia hamuwezi kuendelea kutumia internet kwa style nyingine ?Mbona nasikia wameachia tayari
Kwani wasipoachia hamuwezi kuendelea kutumia internet kwa style nyingine ?Mbona nasikia wameachia tayari
kwangu bado inakataaGoogle services zinafanya kazi kwangu sijui kwa wengine. Ila Youtube bado sipati.
Sijaona sababu ya kufungia internet au Kuna tatizo, maana kwani mbona watu wanawasiliana na taarifa zinafika.Kwani wasipoachia hamuwezi kuendelea kutumia internet kwa style nyingine ?
Upo kwenye mikono salama, mitandao inahatarisha afya za watzSijaona sababu ya kufungia internet au Kuna tatizo, maana kwani mbona watu wanawasiliana na taarifa zinafika.
Au Kuna chenchi wameacha kwa wananchi au Kuna nini?
Imefungiwa kwa maslai ya Uma au Kuna tatizo?
Utakula ulikopeleka mboga...Google service haifanyi kazi pamoja na sms international and hazifiki, Sasa Mimi mawasiliano yangu ni Kwa internet, kutumia sms au call siwezi na namba za simu hazifiki Tatu, niliformat simu halafu kwenye laini nilisave namba 1 tu, hapa hata kuingia play store siwezi.
Kama nipo gizani.
Unaomba setting za VPN nchi ya jiraniKwani wasipoachia hamuwezi kuendelea kutumia internet kwa style nyingine ?
Sasa hakuna namna nyingine mpaka wafunge au Kuna tatizo, watu wanapata hasara mamillioni na billion Tena wanalipa Kodi wanategemea hiyo mitandao halafu unatoa statement ya kirahisi hivyo itakua haujui kuhusu teknologiaUpo kwenye mikono salama, mitandao inahatarisha afya za watz
Itakua kwako nikupe mboga nyingineUtakula ulikopeleka mboga...
Naamini mikono yangu sihamini mikono ya mtu mwingineUpo kwenye mikono salama, mitandao inahatarisha afya za watz
Mikono yako sio salama kwa wengineNaamini mikono yangu sihamini mikono ya mtu mwingine
Hizo hasara zenu hazina impact kwa tabaka tawala, poleni sanaSasa hakuna namna nyingine mpaka wafunge au Kuna tatizo, watu wanapata hasara mamillioni na billion Tena wanalipa Kodi wanategemea hiyo mitandao halafu unatoa statement ya kirahisi hivyo itakua haujui kuhusu teknologia
Ukweli mchungu huu, ngumu kumesa!Hizo hasara zenu hazina impact kwa tabaka tawala, poleni sana
Let's party like nobodys businessUkweli mchungu huu, ngumu kumesa!
Everyday is Saturday................................😎
Mimi nina Nini mpaka nipate hasara sema makampuni mengine ndio nayachora tuHizo hasara zenu hazina impact kwa tabaka tawala, poleni sana
Makampuni yameridhikaMimi nina Nini mpaka nipate hasara sema makampuni mengine ndio nayachora tu