Lini wataachia internet tupige mishe mitandao ya jamii?

Google Service haifanyi kazi pamoja na Sms International and hazifiki. Sasa mimi mawasiliano yangu ni kwa internet, kutumia sms au call siwezi na namba za simu hazifiki Tatu. Niliformat simu halafu kwenye laini nilisave namba 1 tu, hapa hata kuingia play store siwezi.

Kama nipo gizani.
Tafuta VPN papaa,wiki nzima nimesumbuka na mtandao,leo nimepewa vpn kwa bluetooth,
Sasa hv kila kitu bomba
 
Back
Top Bottom