Siku Ninayotamani Ifike Haraka Ni Mwezi Dec Kwani Nafunga Ndoa Baada Ya Uchumba Sugu Wa miaka 15!!
Na Siku Nisiyotaka Ifike Haraka Ni Weekend Zote Kwani Ndizo Siku Ambazo Nalalaga Juu Ya Meza Za Baa au Kaunta Badala Ya Kitandani Kwangu.
Asante.

AHHHAHHAHAHHAHAH shosti hapa ubraidmaid unahusika kwa kweli tutapendezaje na njano na puprple yetu!ahahahahhahahha chezeya uchumba sugu miaka 15 wewe!Siku Ninayotamani Ifike Haraka Ni Mwezi Dec Kwani Nafunga Ndoa Baada Ya Uchumba Sugu Wa miaka 15!!
Na Siku Nisiyotaka Ifike Haraka Ni Weekend Zote Kwani Ndizo Siku Ambazo Nalalaga Juu Ya Meza Za Baa au Kaunta Badala Ya Kitandani Kwangu.
Asante.
Judgement kumbe wewe ndo unayeshkilia maombi yetu yasipate breakthru kwenye uponyaji wako lol!Siku niipendayo ifike
Siku nitakapo jihakiki kwamba nimekua qualified wa kufumua marinda !
Nisiyoipenda siku atokee wa kutokea kuniambia bamia inanihusu !
AHHHAHHAHAHHAHAH shosti hapa ubraidmaid unahusika kwa kweli tutapendezaje na njano na puprple yetu!ahahahahhahahha chezeya uchumba sugu miaka 15 wewe!
ngoja nipendekeze wadau kabisa
hapa kwenye umatrone akae @FP
mabraidsmaid watakuwa cacico, mwaJ King'asti, snowhite
lara 1 na Kapipi watarekebisha upande wa kukaribisha wageni
The Boss atakuwa floor manager Kaizer mwenyekiti wa kamati kuu ya vinywaji HorsePower atarekebisha upande wa kuandaa risala ya wazazi
SnowBall pacha wangu atasimama upande wa usafiri
Nyani Ngabu yeye kzi yake ni kuleta nguo za maharusi kutoka pande za italy
gfsonwin yeye atahusika sana siku ya bridal shower akisaidiana na Mamdenyi
MKATA KIU na Saint Ivuga wao wakiongozwa na BAK pamoja na King Kong III watasimamia swala zima la muziki
Erickb52 yeye atafuatilia swala zima la suti ya bwana harusi
Ruttashobolwa kutokana na kuwa na maslahi binafsi katika hili tunaomba tu atuache tupige mzigo!
ASHAdii akisaidiana na nyumba kubwa watahusika na maswala yooote ya masotojo a.k.a msosi. charminglady na FirstLady pamoja na kisukari nyie kazi yenu ni upande wa saloon muhakikishe amekuja kanisani anawaka waka!
kuna nyongeza jamani?
haluuuu halafu ujue leo tunaanza mkesha wa kumfunda mwali kuamki aijumaa kesho na hapa niko ndo naandika kadi za mwaliko soon mtazipata.
shshshshshshhhhhhhhhhhhhhhhh haya utayasema ukumbini bana subiri kidogo kungwi wangu.mie mbona nakuaminia shurti kumsugua na machicha ya nazi
huku mnamkanda kiuno na mafuta ya uto
halula!
ila kweli shostilo.shshshshshshhhhhhhhhhhhhhhhh haya utayasema ukumbini bana subiri kidogo kungwi wangu.
snowhite yan hiyo nafasi umenipatiaje, bi harusi atawaka kama theluji. . .
afu wimbo wa kuingilia ukumbini utakuwa "wanawake wazuri wazuri wameole yamebaki yamebaki yanahangaika" alilililili!!!!!!!
Wengine wanatamani mwisho wa mwezi ufike haraka, wengine wanatamani msimu wa mavuno ufike haraka, wengine wanatamani siku za ahadi za kukutana na wapenzi wao zifike haraka, kufunga ndoa, kusafiri, nk. Sina uhakika kama kuna wanaotamani siku ya kiama ifike haraka au siku za kufa kwao. Je wewe unatamani siku/majira gani ifike/isifike haraka?
AHHHAHHAHAHHAHAH shosti hapa ubraidmaid unahusika kwa kweli tutapendezaje na njano na puprple yetu!ahahahahhahahha chezeya uchumba sugu miaka 15 wewe!
ngoja nipendekeze wadau kabisa
hapa kwenye umatrone akae @FP
mabraidsmaid watakuwa cacico, mwaJ King'asti, snowhite
lara 1 na Kapipi watarekebisha upande wa kukaribisha wageni
The Boss atakuwa floor manager Kaizer mwenyekiti wa kamati kuu ya vinywaji HorsePower atarekebisha upande wa kuandaa risala ya wazazi
SnowBall pacha wangu atasimama upande wa usafiri
Nyani Ngabu yeye kzi yake ni kuleta nguo za maharusi kutoka pande za italy
gfsonwin yeye atahusika sana siku ya bridal shower akisaidiana na Mamdenyi
MKATA KIU na Saint Ivuga wao wakiongozwa na BAK pamoja na King Kong III watasimamia swala zima la muziki
Erickb52 yeye atafuatilia swala zima la suti ya bwana harusi
Ruttashobolwa kutokana na kuwa na maslahi binafsi katika hili tunaomba tu atuache tupige mzigo!
ASHAdii akisaidiana na nyumba kubwa watahusika na maswala yooote ya masotojo a.k.a msosi. charminglady na FirstLady pamoja na kisukari nyie kazi yenu ni upande wa saloon muhakikishe amekuja kanisani anawaka waka!
kuna nyongeza jamani?
Judgement kumbe wewe ndo unayeshkilia maombi yetu yasipate breakthru kwenye uponyaji wako lol!
watu tunamaombi ya mnyororo wa kila siku toka tupate taarifa za kuugua halafu wewe unatukwamisha tutasusa sasa.