Line ya Tigo-Pesa yahitajika mkoani Dodoma

Ummar

Senior Member
Jan 19, 2014
172
87
Habarini wapendwa.
Kama kichwa cha habari kinavyojieleza hapo juu.Ninahitaji line tajwa hapo juu kwa gharama ya Tsh 250,000 inayo-operate mkoani Dodoma.
Shukran.
 
Thanks a trillions mkuu for your concern.
Hata kama itapatikana kwa 300K hainaga ubaya, tutafanya just a deal.
 
Habarini wapendwa.
Kama kichwa cha habari kinavyojieleza hapo juu.Ninahitaji line tajwa hapo juu kwa gharama ya Tsh 250,000 inayo-operate mkoani Dodoma.
Shukran.

Mimi ninayo na ninataka 450,000 mwisho kabisa 400,000. Nipo Dar na mawasiliano haya hapa 0787577755.
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom