Lindi: Mbunge wa Mtama, Nape Nnauye apata ajali akiwa safarini kuelekea wilaya ya Liwale

Pole sana Nape. Nakuombea kwa Mungu uishi mpaka uione Ccm ikitoka madarakani...

Hii ni mara ya pili unapata ajali katika mazingira kama hayo. Jiangalie kuna kitu.

Cc Mshana Jr
 
It is just a warning signs kwake kama anajielewa vizuri...

He has to know the codes of life in order to survive...

unless watampa mental abduction
 
Mbunge wa (CCM), Jimbo la Mtama mkoani Lindi Nape Nnauye, amepata ajali baada ya gari aina ya Land Cruiser VX yenye namba T 349 DEL alilokuwa amepanda kupinduka leo asubuhi Septemba 24, 2018 katika kijiji cha Kibutuka, akiwa safarini kuelekea wilaya ya Liwale kushiriki kikao cha Kamati Kuu ya siasa mkoa wa Lindi.

Mwandishi wa Azam News mkoani Lindi, John Kasembe amesema hakuna madhara makubwa yaliyotokea kwa waliokuwa ndani ya gari na nje ya gari.

Ameeleza kuwa Nape Nnauye alikuwa njiani kwenda kuungana na ziara ya Katibu Mkuu wa CCM Taifa, Dr Bashiru Ally anayezuru wilayani Liwale mkoani Lindi.

Hii ni mara ya Pili kupata ajali akielekea Lindi. Zaidi soma=>Nape Nnauye apata ajali Kilwa, alikuwa akitokea Dar kuelekea Lindi - JamiiForums
View attachment 876040View attachment 876041View attachment 876042
Daah! mimi ngoja niishie kumpa pole tu kwa sasa maana.
 
Tuliambiwa kigwangwala aliumia/alivunjika mbavu kadhaa, hivi alifungwa POP au ikoje

Pole home boy Napeegwa!
 
Pole sana Nape, ni jambo la kumshukuru sana Mungu. Tutende haki siku zote duniani kwani hatujui siku wala saa. yale 'mabao ya mkono' ni kipindi cha kuyatubu na kuomba toba..
 
Huyu jamaa kama ni kuloga dah ametisha ile ya mara ya kwanza alichomoa hii nayo ,ya tatu sijui itakuwaje
 
Back
Top Bottom