retweeted
JF-Expert Member
- Aug 1, 2016
- 1,339
- 918
Wewe umejuajehii ajali kwake ni ya 2 sasa nina wasiwasi kuwa there might be something wrong ajitathmini
Wewe umejuajehii ajali kwake ni ya 2 sasa nina wasiwasi kuwa there might be something wrong ajitathmini
hahahahunaahahaha mkuu unataka kujua sehemu aliyo nataka kwenda ?Alikuwa anakwepa simba nini?
Mimi nimeishi na nina uzoefu na maiti za majini. Yale majeheneza ni muafaka kwa mazingira yale.yale majeneza ya jana ukiyaangalia vibaya unaweza kudhani vikabati vya wakaanga chips.....R.I P our beloved ones!!!!
Kumbe wanaowapiga risasi raia wasio na silaha ni wasomali! Asante kwa kunijulisha kuwa wasomali pia wameajiriwa polisi.Ona wachawi. Mpo wwngi wala hamtafutwi. We chama chako Kama kina wanachama Kama wewe basi hmtakuja kushika dola mpka mfe. Kaongozeni somalia ambapo mila za kiutu hazipo
Maiti za maji mara nyingi ziko ktk shape kutapatapa. Na zinaharibika haraka sana once ikishatolewa majini. Hivyo salama ni kuzika haraka na kwa kisiwa kidogo kama UKARA majeheneza ya kistaarabu huwezi kupata . Hata kama ni kuagiza Mwz huwezi kupata majeheneza 250 kwa mara moja.Mkuu uko kitengo gani, cha uokoaji ama wewe ni mvuvi?
Si ajali zote ni ajali. Muulize Mwakyembe.Pole sana Nape ...shida nini huna uzoefu kama unaendesha wewe!!! maana ajali ya 2 hii........
Hivi mnajua maana ya kunusurika kifo?Mbunge wa Mtama (CCM) Mh. Nape Nnauye amenusurika kifo katika ajali asubuhi hii iliyotokea mkoani Lindi.
Alikuwa akielekea Liwale katika ziara ya Katibu Mkuu wa CCM (Taifa).
Hakuna madhara makubwa yalitokea na Uchunguzi unaendelea kubaini chanzo cha ajali hiyo.
Habari zaidi zitaletwa hapo baadae.