Boom sio hela ya Kufanyia Biashara.
Wala usijipe Stress,
We Komaa malizia Chuo chako vizur, rud Home pumzika miez 2.
Then andaa Mipango kazi yako vizur ya kuajiriwa,
Anza hata kwa kujitolea kwenye taasisi ambazo course uliyosomea iko applicable.
Na Usihofu kuhusu Nauli na hela ya Kujikimu.
Ndugu jamaa na marafik watakubeba kwa kipind hiki.
Ushindi unaanzia Kichwan.
Mkuuu ndugu watakupenda siku NNE ukiwa hauna KAZI unakua mzigo nyumbaniBoom sio hela ya Kufanyia Biashara.
Wala usijipe Stress,
We Komaa malizia Chuo chako vizur, rud Home pumzika miez 2.
Then andaa Mipango kazi yako vizur ya kuajiriwa,
Anza hata kwa kujitolea kwenye taasisi ambazo course uliyosomea iko applicable.
Na Usihofu kuhusu Nauli na hela ya Kujikimu.
Ndugu jamaa na marafik watakubeba kwa kipind hiki.
Ushindi unaanzia Kichwan...
😂😂😂 Noma😄😄😄 kumbe ndio huyu!
😂😂😂😂😂
Ndio mm 😂😂😂😂😂😂😂
Halaf kipind hiki mnapewa boom pesa ndefu mim nimelaliza chuo account Nina million 2 cash niseme ukwel nilijivunia maisha yangu binafsi chuo bila kua na hekaheka niseme ubahili nao ulinisaidia
Hapo kashone Suti tu uanze kutembeza proposal for funding (business Idea) au CV kwaajili ya ajira. Ila pia unaweza kujifunza skills nyingine kama vile ufunde upate hela za kuendelea kubaki mjini.Boom ni 600k, toa 156k kulipa deni la boom advance toa Kodi, toa chakula toa nauli toa book na stationary...!!
Kifupi namaliza chuo sina hata mia, na sio mia tu sina hata business idea.
Natamani kulia natamani kucheka
Hapa itabidi nijitahidi kukwepa hili deni la boom advance nakwepaje wakati unakata mfumo??
ulikuwa unayo mipango mizuri, alafu pia jenda imechangia hilo.Halaf kipind hiki mnapewa boom pesa ndefu mim nimelaliza chuo account Nina million 2 cash niseme ukwel nilijivunia maisha yangu binafsi chuo bila kua na hekaheka niseme ubahili nao ulinisaidia
Pambana mkuu huko ndio kujitambuaDah haya maisha niliyaogopa toka nipo kidato cha sita,mpaka namaliza mwaka wa kwanza nilkua na akiba ya 1 million, brother nilikula mihogo kuvaa mipauko kwa sana hata demu sikua nae
Nilinunua pikipiki used na kuifanya kama bolt oaa since then boom kwangu ni kama kilinda mfuko tuu
Mungu akijaalia mwakani February naachana na bodaboda niingie kwenye biz ya kueleweka
Kikubwa nidhamu ya pesa kupambana bila kuchoka naa bado naendelea kupiga kitabu nipo second year japo dharau haziishi lakini siri ninayo Mimi na mfuko wangu.Never give up ma brother
Vijana wa IFM mna vyanzo vingi vya mapato.Institute of financial management (IFM)
Ww hukuwa unahingwa kweli unatunzaje fedha zote hizoHalaf kipind hiki mnapewa boom pesa ndefu mim nimelaliza chuo account Nina million 2 cash niseme ukwel nilijivunia maisha yangu binafsi chuo bila kua na hekaheka niseme ubahili nao ulinisaidia
Kuhongwa labda useme wazaz waLifanya kazi kubwa lakin sio mambo ya kuhongwaWw hukuwa unahingwa kweli unatunzaje fedha zote hizo