Hakuna iyo kitu sijui kipande cha nyama wala nini, Limbwata ni ufundi wa mw'mke katika kumridhisha mwanamme kwenye tendo la ndoa na kumuonesha kuwa anampenda, Hilo ni somo kamili wanalofundishwa wasichana na Wataalamu (makungwi) zaidi sehemu za mikoa ya pwani. Ukimkuta mwanamke aliefaulu vizuri katika hili darasa ndio unachanganyikiwa kabisa!! Na hapo ndio watu huona sio bure umelogwa!!
Nakupa mfano: Umerudi kutoka kazini unakuta maji ya moto umeshaekewa bafuni, unabembelezwa ukaoge kuondoa machovu, umepelekwa bafuni na sweety anakukanda-kanda mgongo kwa maneno laini, pole honey nyingi!!, unasafishwa mpaka you know what!
Unarudi chumbani khanga zimebaki kwenye hanger zimekolea Udi, chumba kizima kinanukia harufu nzuri, kitanda kimetandikwa nadhifu kabisa, honey anakwambia muende sebuleni mukapate dinner, kawaida Honey huwa hatii msosi peke yake lazima akusubiri, Msosi unaukuta motomoto hata kama ulichelewa kurudi, Msosi umepikwa na una ladha nzuri.
Munakula na kupiga stori za siku ilivyokwenda, unamaliza mama anakuletea maji ya moto, taulo na sabuni anakunawisha na mikono. wakati wa kulala umewadia Sweaty anafunga buku na shughuli pevu kwa utaalamu wa aina yake, anashika mike na manjonjo yote anakumaliza na hii inakuwa ni desturi ya kila siku!! Bwana eeeh wee acha tu!!
Hapo ndipo watu watasema ooh sijui umewekewa Limbwata.