Limbwata na faida zake | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Limbwata na faida zake

Discussion in 'Mahusiano, mapenzi, urafiki' started by X-PASTER, Feb 10, 2009.

 1. X-PASTER

  X-PASTER Moderator

  #1
  Feb 10, 2009
  Joined: Feb 12, 2007
  Messages: 11,651
  Likes Received: 106
  Trophy Points: 160
  WANT TO KNOW WHAT LIMBWATA MEANS?

  Mara nyingine mtu akiishi maisha ya kujali familia uambiwa amelishwa
  Limbwata aidha na Ndugu au Marafuki. Consider the following, LIMBWATA facts

  A) If LIMBWATA is to allow your wife to be a partner and participant in
  formulating the family budget, then I support it, becoz women are wiser
  spenders than men.

  B) If LIMBWATA means that the family money is used by Mama Watoto to
  purchase stuff at Kariakoo rather than being drunk by the husband at
  RIVERSIDE or GAZA ONE or pale kwa MACHENI
  then I support that men are affected by LIMBWATAz

  C) If a LIMBWATAz husband is the one who won't spend ALL the monthly salary
  with NYUMBA NDOGO or at KITIMOTO Bar (while his KIDS starve) then
  HONGERA to all LIMBWATAz husbands.

  E) If LIMBWATA means that a MUME spends quality time with his MKE and
  WATOTO, instead of engaging in dubious investments where he is CONNED then;
  "Watu Walishwe LIMBWATA forever".

  f) If LIMBWATA means that when MKEO is SICK you help her with work,
  that when she is over burdened you extend a helping hand then LONG LIVE
  LIMBWATAz.

  G) If LIMBWATA means that you DON'T BEAT UP your wife, that you seek
  assistance from your wife for they are called helpers when you have tried
  all the altanertives in vain, then LIMBWATAz LIDUMU MAISHA .

  H) If LIMBWATA means that you treat your wife as a human being, that you
  are polite, don't bark at her like a dog, DONT growl at her like a hyena,
  consider that after work she is as stressed as you are then VIVA
  LIMBWATAz.

  I) If LIMBWATA means that you are at home after work, and that your wife
  and kids are your next of KIN then HONGERA WALE WOTE WALILISHWA LIMBWATA.

  Na ukae hivyo hivyo kaka! KAMA UMELISHWA LIMBWATA, WEWE NI BINGWA!!
  Tell you WIFE to add More LIMBWATAz
   
 2. Penny

  Penny JF-Expert Member

  #2
  Feb 10, 2009
  Joined: Sep 3, 2008
  Messages: 577
  Likes Received: 9
  Trophy Points: 35
  Saaaaafi sana paster, imetulia mkuu, waeleze haoooooo!
   
 3. Mbu

  Mbu JF-Expert Member

  #3
  Feb 10, 2009
  Joined: Jan 11, 2007
  Messages: 12,729
  Likes Received: 187
  Trophy Points: 160
  ...halafu baada ya ya yote hayo juu, unapoendelea kumsamehe Mkeo ambaye kila anapo cheat anakuja na visingizio kama, "shetani tu alinipitia mume wangu", hapo ujue LIMBWATA limekukolea haswa!
   
 4. Nyani Ngabu

  Nyani Ngabu Platinum Member

  #4
  Feb 10, 2009
  Joined: May 15, 2006
  Messages: 73,655
  Likes Received: 35,416
  Trophy Points: 280
  what is limbwata? i want my cupcake to have one....
   
 5. B

  Boney E.M. JF-Expert Member

  #5
  Feb 10, 2009
  Joined: Jan 22, 2007
  Messages: 425
  Likes Received: 9
  Trophy Points: 35
  I sopport 'Nyani Ngabu' to demand the meaning of Limbwata in the 1st place. Is it a herb? Where can I get some? How do I prescribe it depending on the results I expect? Please furnish us with this vital info.
   
 6. Opaque

  Opaque JF-Expert Member

  #6
  Feb 10, 2009
  Joined: Oct 24, 2008
  Messages: 1,138
  Likes Received: 31
  Trophy Points: 135
  Is it necessary to wait until she is sick or over burdened?
   
 7. Masanilo

  Masanilo JF-Expert Member

  #7
  Feb 10, 2009
  Joined: Oct 2, 2007
  Messages: 22,303
  Likes Received: 168
  Trophy Points: 160
  Nilisikia zamani vijiweni, limbwata ni nyama iwekwayo ukeni (kwenye K) kama siku nzima!! Halafu inatolewa ikiwa almost fermented na inapikwa na kupewa muhusika. Ukiisha ila tu, husikii huambiwi, mkeo anaweza amua kucheat mzee wala huoni, hata mkeo akileta njemba nyumbani huelewi unakuwa umepumbazwa fulani. Mzee wa kushinda ndani na msuri........binafsi siamini mambo haya....ila kwa kuwa yanasemwa huenda yapo....
   
 8. Shishi

  Shishi JF-Expert Member

  #8
  Feb 10, 2009
  Joined: Feb 11, 2008
  Messages: 1,244
  Likes Received: 7
  Trophy Points: 135
  ?????????????????????????????????????????????????????? eti?????
   
 9. Penny

  Penny JF-Expert Member

  #9
  Feb 10, 2009
  Joined: Sep 3, 2008
  Messages: 577
  Likes Received: 9
  Trophy Points: 35
  Intresting! sasa hiyo nyama inawekwa ikiwa mbichi au imeshapikwa...ili nami nijaribu pia huenda hubby akatulia!lol
   
 10. Masanilo

  Masanilo JF-Expert Member

  #10
  Feb 10, 2009
  Joined: Oct 2, 2007
  Messages: 22,303
  Likes Received: 168
  Trophy Points: 160
  HAhahhah weee Penny!! Nadhani inawekwa kipande kibichi....
   
 11. Penny

  Penny JF-Expert Member

  #11
  Feb 10, 2009
  Joined: Sep 3, 2008
  Messages: 577
  Likes Received: 9
  Trophy Points: 35
  Aksante sana kwa information, acha tujaribu mwaya...
   
 12. Baba_Enock

  Baba_Enock JF-Expert Member

  #12
  Feb 10, 2009
  Joined: Aug 21, 2008
  Messages: 6,804
  Likes Received: 176
  Trophy Points: 160
  Mkuu,

  Kwa maana hiyo wale wanaokwenda "CHUMVINI" wakati wa majambozi ni 100% limbwated?
   
 13. Masanilo

  Masanilo JF-Expert Member

  #13
  Feb 10, 2009
  Joined: Oct 2, 2007
  Messages: 22,303
  Likes Received: 168
  Trophy Points: 160
  Hahahaha kazi kweli kweli, usiweke kamfupa unaweza umia hahahah kidding!
   
 14. Masanilo

  Masanilo JF-Expert Member

  #14
  Feb 10, 2009
  Joined: Oct 2, 2007
  Messages: 22,303
  Likes Received: 168
  Trophy Points: 160
  Oohh yeah
   
 15. Buswelu

  Buswelu JF-Expert Member

  #15
  Feb 10, 2009
  Joined: Aug 16, 2007
  Messages: 1,989
  Likes Received: 42
  Trophy Points: 145
  Hawa sasa ni rahisi kwao kukaona kama katakuwepo...suppose kwa maelezo ya juu kuwa kanawekwa kwa siku nzima....So wachimba chumvi hawawezi kukubwa na tatizo la kuwekewa libwata.

  Ila sasa kukaa uko uvinza kwa siku nzima lazima katakuwa kameshakwiva ndio kanawekwa....kwani kabichi..kisha kaende kwenye moto...basi kanakwisha nguvu....kwani si kenyewe tu..nahisi huwa kanachanganywa na vingine...
   
 16. Baba_Enock

  Baba_Enock JF-Expert Member

  #16
  Feb 10, 2009
  Joined: Aug 21, 2008
  Messages: 6,804
  Likes Received: 176
  Trophy Points: 160

  Wakuu,

  I hope hicho kipande hakiwezi kuwa cha "mnyama" aka "KITIMOTO", kwa maana utengezaji wake kama kitoweo unaweza kuondosha uwezo wa mtu kuwa "limbwated"
   
 17. Spear

  Spear JF-Expert Member

  #17
  Feb 10, 2009
  Joined: Jun 21, 2008
  Messages: 510
  Likes Received: 6
  Trophy Points: 0
  kiukweli wanaume wengi hawaelewi nini kinachomfanya msichana atafute mtu mwengine wa kumkidhi haja zake pale anapohisi mume hamkidhi kimapenzi wavulana wengi wamekuwa na mawazo yakuwa kufanya mapenzi mara kwa mara kama vile wanvofanya majogo kila dakika ndio amekuwa bingwa ukweli kuna mengi katika kufanya mapenzi na kufikia msichama aridhike kuwa na kichwa kikubwa haina maana unaakili nyingi
   
  Last edited: Feb 10, 2009
 18. Teamo

  Teamo JF-Expert Member

  #18
  Feb 10, 2009
  Joined: Jan 9, 2009
  Messages: 12,286
  Likes Received: 51
  Trophy Points: 145
  sometimes hata ukimpenda mkeo,ukamsikiliza utaambiwa LIMBWATA.ukiwahi kurudi nyumbani walau upumzike na familia baada ya kuhangaiko mingi watasema LIMBWATA.ukimpa nafasi mkeo ya kusikilizwa katika ndoa watasema LIMBWATA.

  confusion!
   
 19. Teamo

  Teamo JF-Expert Member

  #19
  Feb 10, 2009
  Joined: Jan 9, 2009
  Messages: 12,286
  Likes Received: 51
  Trophy Points: 145
  :confused:
   
 20. Bujibuji

  Bujibuji JF-Expert Member

  #20
  Feb 10, 2009
  Joined: Feb 4, 2009
  Messages: 35,381
  Likes Received: 22,253
  Trophy Points: 280
  nyama hiyo mbichi huwekwa ukweni,
  je kama mimi nataka kumuwekea mke wangu nyama hiyo naiweka wapi??
   
Loading...