Anaweza kuwa legend lakini legent asie na mafanikio kimataifa hahahaKwako wewe Bdozen unamuona wa kawaida ....... Yule ni Legend wa show za mchana usimfananishe na hao wapuuzi wawili
Ki uhalisia Lil ommy anakushawishi umsikilizee na utamani kuendelea kumaikilizaKinachombeba Lili omy ana kipaji lakn pia shule ipo kichwani , B-Dozen kipaji anacho sjajua kama shule anayo hapo ndo anapopwaya , ni vigumu sana kumove on kama shule haipo , utabakia pale pale
Shule gani unayoisema?..
B12 amesoma Arusha high school na pia amesoma IFM na bro wangu mmoja...Leta za ommy
Kuonesha chuki... ukaamua umuingize na b dzn.Yaani unamfananisha the king of interviews
lilyommy,the guy your mother your sister love?
Acha aisee lilyommy ni international presenter sio sawa na jonijoo ni bado sana kwa ommy
namkubali sana pia jonijoo kwa swag na misemo yake ya kisera flani hivi,lakini bado yuko local sana kama kina b dozen tu,
and the winner is lilyommy.
Times waliwezaSamahan , B-Dozen hamna kitu aisee labda kwenye kuhost show , vingine Yule mwamba pumba tupu, lil omy ni presenter anayejielewa Sana mana pia anahtaji guidance ya kisomi Sana , sidhan kama hata Wasafi wataweza kumguide vyema , ila ni bonge la presenter hapa Tz
kwa mafaniko yapi lily ommy ana mzid b dozenAnaweza kuwa legend lakini legent asie na mafanikio kimataifa hahaha
Sent using Jamii Forums mobile app
Utachekwa siku nyingine....kwa mafaniko yapi lily ommy ana mzid b dozen
Zile tuzo za majalida ya wanaijeria? Leta mafanikio mengine tafadhaliUtachekwa siku nyingine....
Lil ommy ndio mtangazaji wa kwanza kushinda tuzo tena mbili za kimataifa...
Sent using Jamii Forums mobile app
Ata kama ni majarida huoni anafamaika mpka huko sasa hhahaa mbona dosen hana izo sasaZile tuzo za majalida ya wanaijeria? Leta mafanikio mengine tafadhali
Sent using Jamii Forums mobile app
Utachekwa siku nyingine....
Lil ommy ndio mtangazaji wa kwanza kushinda tuzo tena mbili za kimataifa...
Sent using Jamii Forums mobile app
Hizo tuzo hadi wadwanzi wanapata, mi huwa nazidharau. Kwahiyo Lil Ommy anafahamika kuliko kina Kikeke?[emoji1][emoji1][emoji1], bro hebu kuwa siriaz nitajie mafanikio aliyonayo Lil Ommy kumzidi Dozen.Ata kama ni majarida huoni anafamaika mpka huko sasa hhahaa mbona dosen hana izo sasa
Sent using Jamii Forums mobile app
Kwani tunaongelea mali hapa mkuu? Hapa tunajadili lil ommy na dozen nani ni bora mzeekhwy mafanikio ya mtu ndio tuzo?
kwanza mafanikio nini kwa uelewa wako labda
hv haujajua presenter anayesukuma gari kali kuliko hao wote ni b dozen
half kuna born to shine na vingine
kiufupi dozen huwez kum fananisha na lili ommy
dozen ni katangulia 2
ulisema lili ommy ana mafanikio!Kwani tunaongelea mali hapa mkuu? Hapa tunajadili lil ommy na dozen nani ni bora mzee
Sent using Jamii Forums mobile app
Millard ayo mnam-exaggrate Sana somtyme, ni kweli ana mafanikio ila sio Kwa kiwango hcho mnachotaka kutuaminishaHizo tuzo hadi wadwanzi wanapata, mi huwa nazidharau. Kwahiyo Lil Ommy anafahamika kuliko kina Kikeke?[emoji1][emoji1][emoji1], bro hebu kuwa siriaz nitajie mafanikio aliyonayo Lil Ommy kumzidi Dozen.
Nikupe Mfano mafanikio ya mtu kama Millard Ayo;-
1. Anamiliki Channel ya news yenye subscribers wengi pengine kuliko zote E.A
2. Ana ushawishi mkubwa sana, kupitia kazi anazofanya
3. Anaingiza pesa nyingi sana kupitia kazi yake na ameajiri vijana wengi wanaomsaidia
4. Page yake ya IG inafatiliwa na watu wengi kuliko mtangazaji yeyote EA hii ni kutokana na wengi hufatilia habari kupitia page yake
Huo ndo mfano wa mafanikio nnayotaka kuyasikia, na sio vituzo uchwara za waganga njaa wa Naijeria waliolowea Marekani
Sent using Jamii Forums mobile app
Kipi cha uongo hapo?Millard ayo mnam-exaggrate Sana somtyme, ni kweli ana mafanikio ila sio Kwa kiwango hcho mnachotaka kutuaminisha
Dozen aliingiaje hapa?Bdozen hamna kitu pale ni Utopolo ule
uwezi mlinganisha jonijoo na Bdozen
jonijoo anaswag na misemo ya kihuni wanayoipenda vijana,
hata kimuonekano tu,utagundua jonijoo ni next xana kuliko huyo bdozen
sema Mashabiki wa cloudsfmtz ni kama mbuzi mmezoea kula majani hamjui Kama kuna vingine zaidi ya majani.