Lily flower ameta soo mitaani

Lily flower ameta soo mitaani

Haya basi @FP, twende kazi....

Bahati nzuri nimekuwa-sandwitched na team ya kutosha kuokoa jahazi...naamini hapa lile jeshi la Arusha wing linahusika, at least for the next few days...

From 7.30pm, tuko BOT Club....ukukuje chap chap basi tuone vitu vyako!!

Cc. PakaJimmy, Mzee wa Rula, Arushaone, liverpooFC, Erickb52, Blaki Womani, Preta, Filipo, marejesho, Lily Flower, Mungi, Kaizer, Mr Rocky, WiseLady

Babu DC!!
mkuu mbona umeuja kimya kimya ungenialika ningekuja maani niko hapa makaburini navuta muda kupunguza traffic jam ya maana kusuka njiro siku hizi ni balaa
 
Last edited by a moderator:
Usijali mummy sijaona kwenye redi

yaani mpaka leo hujaona tu kwenye red mkuu mungi? babu Dark City anakualika BOT club.

nashangaa amewatenga member wengine wa A town jiji kasoro mbunge
 
Last edited by a moderator:
mkuu mbona umeuja kimya kimya ungenialika ningekuja maani niko hapa makaburini navuta muda kupunguza traffic jam ya maana kusuka njiro siku hizi ni balaa

Ukuje basi na wewe.....

Unawahi nyumbani kuna toto party?

Babu DC!!
 
yaani mpaka leo hujaona tu kwenye red mkuu mungi? babu Dark City anakualika BOT club.

nashangaa amewatenga member wengine wa A town jiji kasoro mbunge

Hapana bwana, mie sijaja kubadilisha maandishi...wasiliana na mwenyekiti au katibu akupe hadidu za rejea!!

Babu DC!!
 
Ukuje basi na wewe.....

Unawahi nyumbani kuna toto party?

Babu DC!!

22090984.jpg
chezea kuwa na toto kama hii ni zaidi ya toto pary
 
ha haaaaaaaaaaaa, hii ndo dawa.....maana wengine huwa tunajifanya hatujasikia tunajikausha tunachapa lapa......next time ntafanya hivi, lol!

kwi kwi kwi!! shosti FP yaani nimejifunza watanikoma yeyote atakayejaribu kuni psssssss....pssssss! atajuta!
 
Last edited by a moderator:
yaani mpaka leo hujaona tu kwenye red mkuu mungi? babu Dark City anakualika BOT club.

nashangaa amewatenga member wengine wa A town jiji kasoro mbunge

Mkuu sikuwatenga waungwana, nilikuwa nje ya Arusha ndo maana sikuweza kuhudhuria.

Mkuu kwenye red bado sijaona.................. si unajua Lily Flower aliniamrisha kuwa nikifika kwenye maandishi mekundu niruke nisisome kabisa.................. sasa mi nilipoiona niliruka tu hata sikuisoma
 
ok ok mkuu kumbe mlikuwa mnamaanisha maandishi sikujua hiyi red ilikuwa maandishi.
ulikuwa na taarifa ya kikao cha BOT?
 
Last edited by a moderator:
Back
Top Bottom