Kasi ya wanaume kuweka bleach kwenye nywele na ndevu, jamii inafeli wapi?

Ukijua haya mambo ni fashion na ya Kupita / wala hayana uhisiano wowote mwingine zaidi ya fashion statement au cultural identity wala yasingekusumbua na ungejali wewe binafsi unaamini au unapenda nini

1687685068441.png


To each his / her own....
 
Tunavamia bila kuwa na taarifa kamili. Si ajabu mtu akapita kwa wanaoujua Color codes na roles zake mtu akashikwa Tako akamind kumbe mirangi ni Activation code ya matukio yaleee.
Matukio yapiii? Fikra zenu mmejaza ushoga, lol.
 
Siku ukipata hela utajua kila mtu anatakiwa kufatilia mambo yake hata ukiona mtu anakunya kwenye zebra utamuacha uendelee na bizness zako
 
Back
Top Bottom