Lily flower ameta soo mitaani

Lily flower ameta soo mitaani

We Lily Flower umefanya ninj tena, hebu niambie kama sijachukia maana ndiyo juzi tumetoka kula kiapo!!!

Acha tu Mzee wa Rula si huyo zoba na kigari chake cha kuazima kwa @Mr.Rocky maana Erickb52 alimtolea nje, anatokea watu ovyo ovyo nilimpa vidonge vyake na alivimeza vyote ha ha ha ha.

Hapo kwenye red nimepiga goti nikiomba babe Mungi asione hii.
 
Whats happening huku jamani mbona niko njia panda, kitalolo hebu njoo pande hii uniambie hiyo video umeitoa maktaba lini na kwa ruhusa ya nani? ha ha ha ha Btw si umeona jamaa alivyo nyuea utafikiri paka aliyemwagiwa maji chezea mimi wewe.

Nimeoto maktaba kwa ruksa yangu mwenyewe ili iwe fundush kwa magumegume wasije kukutokea tena bila kujipanga Lily Flower
 
Last edited by a moderator:
tena babu unafikiri hata utaweza kurudi tena kwenye gari? utatimua mbio balaa.
moto wake mchezo unafikiri?

Haya basi @FP, twende kazi....

Bahati nzuri nimekuwa-sandwitched na team ya kutosha kuokoa jahazi...naamini hapa lile jeshi la Arusha wing linahusika, at least for the next few days...

From 7.30pm, tuko BOT Club....ukukuje chap chap basi tuone vitu vyako!!

Cc. PakaJimmy, Mzee wa Rula, Arushaone, liverpooFC, Erickb52, Blaki Womani, Preta, Filipo, marejesho, Lily Flower, Mungi, Kaizer, Mr Rocky, WiseLady

Babu DC!!
 
he he heeeeeeeeee, umewahi kuona jeshi linatimka na kukuacha mwenyewe? try and see babu.
 
he he heeeeeeeeee, umewahi kuona jeshi linatimka na kukuacha mwenyewe? try and see babu.

unafikiri hata hiyo tuk tuk utaiona? yaani wewe fanya zoezi la kutosha kukimbia, otherwise itakula kwako babu

Unajua nini @FP,

Kujihami ni dalili ya woga...Huwa unasoma katuni za Chezo kwenye Tanzania Daima?

Hicho ndiyo unachokifanya hapa.....

Ila Babu atakomaa hadi mwisho....wewe njoo kwenye uwanja wa mapambano pale BOT club ili uone moto!

Babu DC!!!
 
Back
Top Bottom