Lily flower ameta soo mitaani

Lily flower ameta soo mitaani

uwiii... Boflo hebu tizama unieleze nini kinaendelea......
yani nimecheka mana kama nakuona na iyo keleuwiii uliyoipiga hapo kwani unatumia nn mpz ukashindwa kuitizama .....napenda kukusoma sana u always makes ma day better:smile::smile::smile:
 
yani nimecheka mana kama
nakuona na iyo keleuwiii uliyoipiga hapo kwani unatumia nn mpz
ukashindwa kuitizama .....napenda kukusoma sana u always makes ma day
better:smile::smile::smile:

natumia cm leo dear....aina ya wuu shuu....sasa na huyo Boflo alivyonchunia....najutaaaa kumfahamu.....
 
Last edited by a moderator:
ha haaaaaaaaaaaa, hii ndo dawa.....maana wengine huwa tunajifanya hatujasikia tunajikausha tunachapa lapa......next time ntafanya hivi, lol!

i wish hiyo nezt time ukutane na mimi [MENTION]FP[/MENTION] ndio utakoma jamaa alikuwa anatani hakuwa kamaanisha maneno yote kwishney ila si angechombeza hata ishu nyingine haya ya kanisani au msikitini unakata neno mapaka demu anajiona mjinga
 
ha haaaaaaaaaaaa, hii ndo dawa.....maana wengine huwa tunajifanya hatujasikia tunajikausha tunachapa lapa......next time ntafanya hivi, lol!

Utayaweza hayo mapepe @FP?

Huyu lazima alitoka kupuliza kwanza.....

Ila nilitamani ningekutaana naye kabla ya 1947.....

Hapa lazima akina Erickb52, Rocky, Arushaone na mapepe wengine wangetia mpira kwapani!!

Babu DC!!
 
Last edited by a moderator:
Utayaweza hayo mapepe @FP?

Huyu lazima alitoka kupuliza kwanza.....

Ila nilitamani ningekutaana naye kabla ya 1947.....

Hapa lazima akina Erickb52, Rocky, Arushaone na mapepe wengine wangetia mpira kwapani!!

Babu DC!!
ha haaaaaaaa, babu unafikiri ukizeeka ndo unakuwa kama kondoo?
hapo sidhani kama kuna bangi wala nini..........
wewe subiri tu nimepata hilo desa, mtu akijidai na ksi ksi zake tu nimemuwashia moto, lol!
 
Naomba uanze na mimi ili ni-prove kama kweli mie siyo wale nyuki wa kwenye bucha....

Hapa lazima Lily Flower aje kukuwa consultant!!

Babu DC!!
 
Whats happening huku jamani mbona niko njia panda, kitalolo hebu njoo pande hii uniambie hiyo video umeitoa maktaba lini na kwa ruhusa ya nani? ha ha ha ha Btw si umeona jamaa alivyo nyuea utafikiri paka aliyemwagiwa maji chezea mimi wewe.
 
Last edited by a moderator:
Whats happening huku jamani mbona niko njia panda, kitalolo hebu njoo pande hii uniambie hiyo video umeitoa maktaba lini na kwa ruhusa ya nani? ha ha ha ha Btw si umeona jamaa alivyo nyuea utafikiri paka aliyemwagiwa maji chezea mimi wewe.

umemwonea jamaa anaona alikuja na kagari cha kuazima ili akizingue ungekutana na mimi au babu yako ndio ungekoma. huyu si ulimlia timing na ulishajua ni zoba
 
Last edited by a moderator:
Back
Top Bottom