PAPA: Sijaruhusu ndoa za jinsia moja ila kubariki vitu vyao kama magari, Nyumba, Mashamba ni ruksa Misingi hii ya Kanisa Katoliki iliwekwa na Mungu

Vugu-Vugu

JF-Expert Member
Feb 24, 2017
1,109
1,265
IMG-20231220-WA0018.jpg

IMG-20231220-WA0003.jpg
IMG-20231220-WA0004.jpg
IMG-20231220-WA0005.jpg
IMG-20231220-WA0006.jpg
IMG-20231220-WA0007.jpg
IMG-20231220-WA0008.jpg
IMG-20231220-WA0009.jpg
IMG-20231220-WA0010.jpg
IMG-20231220-WA0011.jpg

Hiki ndicho alichokisema Baba Mtakatifu Francesco ambaye ndiye Kiongozi Mkuu wa Kanisa Takatifu Katoliki la Mitume Duniani,

Nimejipa muda wa kutosha nimeupitia waraka huu Mtakatifu nukta kwa nukta neno kwa neno mstari kwa mstari sijaona sehemu Ushoga na Usagaji vimeruhusiwa na kiongozi huyu wa juu kabisa wa Kanisa.

Katika waraka huu zaidi sana nimeona nafuu waliyopewa hawa mashoga wamepata neema kwa vitu vyao kubarikiwa mfano wa vitu hivyo ni kama kiwanja, Nyumba, gari au vinginevyo ila si ndoa Takatifu,

Tunakubaliana wote kuwa Gari la shoga haliwezi kuwa ni gari shoga au shule ya Shoga haiwezi kuwa ni shule shoga ila mmiliki,

Ushoga ni baina ya mtu na mtu mfano mwanaume na mwanaume au mwanamke na mwanamke na si kitu na kitu.

Kwakuwa tunaishi kwenye nyakati za mwisho watu wanatamani Kanisa liidhinishe dhambi zao mbele za Mungu.

Lazima tufahamu kuwa, Hata kama Kanisa au misikiti itaruhusu Ushoga dhambi hii bado iko palepale, na ni motoni moja kwa Moja bila mjadala.

Mungu lilinde na kuliinua Kanisa Katoliki Duniani, kote
 
View attachment 2847833
View attachment 2847851View attachment 2847852View attachment 2847859View attachment 2847861View attachment 2847866View attachment 2847867View attachment 2847902View attachment 2847903View attachment 2847906
Hiki ndicho alichokisema Papa Francis Kiongozi Mkuu wa Kanisa Takatifu Katoliki la Mitume Dunia,

Nimeupitia waraka huu nukta kwa nukta neno kwa neno mtari kwa mstari sijaona sehemu Ushoga na Usagaji vimeruhusiwa ,

Zaidi sana nafuu walipewa mashoga ni kupata neema ya vitu vyao kubarikiwa kama vile kiwanja, Nyumba, gari au vinginevyo,

Gari la shoga haliwezi kuwa shoga au shule ya Shoga Haiwezi kuwa shoga,

Ushoga ni baina ya mtu na mtu mfano mwanaume na mwanaume au mwanamke na mwanamke,
Mkuu sasa Taratibu anza kusoma kuanzia Article ya 31 mpka 40..
Halafu malizia Conclusion ya 41
 
AAAH WAPI WEWEE

WENZAKO WAKO CHAKA KITAMBO WANATAFUTA MADUME JIKE YA KURUKA NAYO,HIYO RUKSA IMESHATOKA NA WATU WANAENDELEA KAMA KAWAIDA KUZIBUANA MITARO NA KUMWAGANA KINYESI,YAANI HAPO KANISA KATOLIKI HAWANA PA KUTOKEA..TEH TEH TEH
Teteetehhh Papa kawaruhusu hata Waislam wa Pwani na Zanzibar kutifuana Mitaro tu. Teteteeeeee. Hivi shehe wangu katika Hadith Idadi 16,245 ambapo Muddy(56) aliunyonya ulimi na kulamba mdomo wa Al Hassani mwana wa Ali alimaanisha nini Muddy boy?
 
kubariki vitu vyao si ndio kubariki kazi za mikono yao?, kama hivyo vitu vimetokana na kugongwa maana yake pia siunakuwa umebariki hiyo kazi ni ruksa?..

Unabariki mali ya jambazi, mwizi, muuza madawa tafsiri yake ni nini?
 
LINDENI MARINDA YENU AISEE,PAPA KESHATOA RUKSA YA KUHALALISHA MATUMIZI YA KWA MPALANGE,SASA KAZI KWENU.

DINI YENU NI DINI INAYOENDA NA WAKATI WENYEWE MNASEMA,NA SASA NI ZAMA ZAO HAO LGBTQ SASA KAZI KWENU.

TEH TEH TEH,KANISA LAWA WAFUASI WA KWA MPALANGE??TEH TEH TEH
 
Sijui mnatetea nini!?.., Kanisa lolote linalomwabudu Mwenyezi Mungu halitakiwi kutoa support yoyote Kwa mambo yanayohusiana na ushoga. Ushoga ni uchafu uliopitiliza, hakuna dini yoyote ya kweli inayotakiwa kukubaliana na maswala ya ushoga na kuona ni sawa. Vinginevyo iwe ni dini ya uongo.
 
Hata Papa hakuna sehemu ameruhusu ushoga yeye anataka wasitengwe
 
kubariki vitu vyao si ndio kubariki kazi za mikono yao?, kama hivyo vitu vimetokana na kugongwa maana yake pia siunakuwa umebariki hiyo kazi ni ruksa?..

Unabariki mali ya jambazi, mwizi, muuza madawa tafsiri yake ni nini?
Unaweza kila ukitaka kubariki kitu uanze kuuliza kimepatikanaje!? Utaweza kazi hiyo!? Vipi pia kwenye kutoa sadaka napo uanze kuuliza kila anayetoa, pesa yake kaipata wapi!? Si itakuwa vurugu mechi hiyo!? Hata changudoa sadaka yake inapokelewa kwenye nyumba za ibada.
 
Hata Papa hakuna sehemu ameruhusu ushoga yeye anataka wasitengwe
Kwanini anatetea mashoga!?,wale maaskofu wa R.C kule USA waliodhibitika walikuwa wakilawiti watoto wa kiume wadogo mwaka 2019 Kanisa liliwafanya nini!?., kwanini R.C isikae mbali na mambo ya mashoga ni lazima itoe tamko!?,tatizo linaanzia hapo. Kuna uvumi wa miaka mingi kwamba yawezekana Papa ndo mpinga Kristo (666), naanza kuhisi yawezekana ikawa kweli.
 
View attachment 2847833
View attachment 2847851View attachment 2847852View attachment 2847859View attachment 2847861View attachment 2847866View attachment 2847867View attachment 2847902View attachment 2847903View attachment 2847906
Hiki ndicho alichokisema Papa Francis Kiongozi Mkuu wa Kanisa Takatifu Katoliki la Mitume Dunia,

Nimeupitia waraka huu nukta kwa nukta neno kwa neno mtari kwa mstari sijaona sehemu Ushoga na Usagaji vimeruhusiwa ,

Zaidi sana nafuu walipewa mashoga ni kupata neema ya vitu vyao kubarikiwa kama vile kiwanja, Nyumba, gari au vinginevyo,

Gari la shoga haliwezi kuwa shoga au shule ya Shoga Haiwezi kuwa shoga,

Ushoga ni baina ya mtu na mtu mfano mwanaume na mwanaume au mwanamke na mwanamke,
Hayo magari , viwanja mbona sijaona kwenye huo waraka.. Au ndo na wewe uneta ufundi wako. Waraka unesema baraka zinaweza tolewa kwa watu wamahusiano ya jinsia moja au wenye mahusiano yasiyokuwa ya kawaida bila kuathiri maana halisi ya ndoa. Umeelewaje hapo .usiwe mfia dhehebu ndugu. Angalia para ya pili toka chini hapo kwenye presentation.
 
Back
Top Bottom