Bujibuji Simba Nyamaume
Platinum Member
- Feb 4, 2009
- 79,028
- 168,646
Wapendanao walienda lizo mkoani MWANZA , waliamua kujipumzisha katika HOTELi ilioyo
Kua karibu na ZIWA , MUME alipenda sana Kuvua Samaki wakati MKE yeye Hupendelea
Kukaa Chini na Kujisomea Story za NYEMO CHILOGAN ,Hoteli ilikuwa na Boti mojaa kwa ajili
ya Wageni wa Hoteli hiyoo kazi yake ilikuwa kuvua na kutaliii Talii Hapo Ziwani , Siku Moja
Asubuhi MUME alienda Ziwanii na Boti Hiyoo Katembeaa tembea Ziwani na kuvuaa Samaki
wawili watatu , kisha akarudi Hotelini Hapo , MKE aliamua kupanda BOTI na kuiwasha nakwenda zake ziwani kuangalia Mazingira pembezoni japo hakujuaa wapi aendapo , Mara
gaflaa alisimamishwa na ASKARI aliekuwa pembezoni akamuuliza , Hebu Paki kwanza Pembeni Hii Boti na uzsizidi Kwenda Mbalii .... "kwanza Kabisaa Shikamoo Mama ! waweza niambia Unafanya nini sasa Hivi hapo ulipo ? " " nina Soma Kitabu " alimjibu askari huku akimuonesha Kitabu mbele Ya Boti " Hapo ulipo Upo Unavuaa Samaki Sehemu ambayo huzuiwa Ziwani , ni PRIVATE area , eneo
la jeshi la polisi " "lakini Baba Si unaona Mie Sivui Samaki ! si unaona Mwenyewe , sasa Mie kosa Langu nini ?
" " lakini mie nakuona unavifaqa vyotee vya kuvulia Samaki kwenye hii BOTI, Kwakweli
naomba ushuke twende Kituoni Kwa Taarifaa zaidi na kunafaini Ya kulipiaa maelezo ya Boti
nisha chukuaa " " Ukifanya Hivyoo kaka Yangu nitafungua Kesi kuwa ULINIBAKA Katika Boti " alisema
Mwanamke huyoo " Hee wewe mie Hata kukugusa sijakugusaaa " alisemaaa Askari huyoo wa Usalama " Hiyoo nikweli Kabisaa ASKARI .....Lakini Si vifaa Vyote Vya Kunibaka Unavyoo ???