sweetlady mambo? uwe unaangalia na wakutuma 'kudipu' jamani, bishanga ni anadipu kila baada ya sekunde kha! nimekimbiaje sasa, abeeeeee sweetlady!
unantishia nyau? kwani uongo?
sweetlady mambo? uwe unaangalia na wakutuma 'kudipu' jamani, bishanga ni anadipu kila baada ya sekunde kha! nimekimbiaje sasa, abeeeeee sweetlady!
bishanga nitake radhi, kwani mie memba wa dildo jamani?? mie hata nikimtoa ni kwa roho safi tu, kama muke ya mudhungu na wenzie wanavyotokaga, eti sweetlady tujichanganye basi!hisia huanza pole poleeee,umeanza kumpendapenda? cacico njoo ndugu yangu kuna mtu anataka kukupa kideti mwende level8 Hyatt,ijumaa leo ujue.
i uv you too sweetlady, was sooo busy nam-massage YM, eti kachoshwa na misukosuko ya ulimwengu huu, ila sasa nipo, haya kwema huko? kadogoo mwanangu hajambo? mtoto kabatizwa huyo lakini?Hahahahaahh....... cacico ndio nini kunichekesha hivyo lol....pole kwa kukimbia mpendwa mie ndio mana i love you manake unanijali sana.....nilikuita tu vile sijakuona toka asubuhi....nimekuona roho yangu sasa imetulia kama maji ya kwenye mtungi.....kwema utokako?....
cacico achana na Bishanga manake alishashindikana toka zamani.......Afu unamjua muke ya muzungu weye?.......wapi Nyani Ngabu jamani?......tujichanganye mwaya.....bishanga nitake radhi, kwani mie memba wa dildo jamani?? mie hata nikimtoa ni kwa roho safi tu, kama muke ya mudhungu na wenzie wanavyotokaga, eti sweetlady tujichanganye basi!
sweetlady wala haina shobo, na hivi job kwangu ni hapa askari monument, ni mwendo wa kutembea tu nipo hyatt! hebu niPM basi tupange muda, sasa kadogoo utamuacha na nani? muke ya mudhungu namthikia tu sifa zake, si kwamba namjua wala kumfahamu..... lol!cacico achana na Bishanga manake alishashindikana toka zamani.......Afu unamjua muke ya muzungu weye?.......wapi Nyani Ngabu jamani?......tujichanganye mwaya.....
i uv you too sweetlady, was sooo busy nam-massage YM, eti kachoshwa na misukosuko ya ulimwengu huu, ila sasa nipo, haya kwema huko? kadogoo mwanangu hajambo? mtoto kabatizwa huyo lakini?
cacico achana na Bishanga manake alishashindikana toka zamani.......Afu unamjua muke ya muzungu weye?.......wapi Nyani Ngabu jamani?......tujichanganye mwaya.....
lahaula sweetlady ombi lako limekubaliwa! mama wa ubatizo nipo na rozari nitamfundisha mapema kuisali na si kivaa shingoni kama lulu! shemeji yako yupo anaguna tu, alizoea vya arusha vimemchosha, sasa yu ala vya pwani vyenye kuogea maji chumvi, haonekani jei efu ndio kwanza alfajiri kwake anautia kasi kila dakika ili anate na beats! haya maandalizi mema ya ubatizo, nguo za kadogoo msisumbuke YM yupo mapajani hapa kalala, anadai eti atanunua yeye! msalimie bishanga, mwambie mie mzima!Hehehehe mwanamke shurti ulinde ndoa mama.... ukishindwa kum massage wewe watam massage wenzio lol.....hajambo shemeji @YM?.....huku kwema mpendwa tena pamezidi kuwa kwema baada ya wewe kutokea.....kadogoo yuko poa .....ubatizo bado tunasubiri kitovu kikatike .....nakutegemea uwe mama wa ubatizo ujue.
ya Nyani Ngabu yametoka wapi? wewe???:spit: