'likes' hazilipiwi LUKU!

avatar kama @angel msoffe ingekuwa ni kule FB kama ni rafiki yako ni kum-delete fasta... maana hawezi like post/comment yako yoyote...!!!
Haimaanishi ku-like kila post/comment yoyote, kuna zile fun/point comments/posts, hivi kweli @angel msoffe, toka june/2011 ujiunge jf hakuna post/comment yoyote iliyokufurahisha??
taratibu mkuu,mhusika anasema kanokia tochi ndo kanamponza,hakapigi 'like'.
 
umejuaje @ sweetlady. Hcho ndo kiref chake


Kumbe nimepaita eeh lol.....nigongee like basi....ila nihakikishie tu kuwa sio chama cha Mapi......manake kama ni hivyo ntaacha kukupenda sasa hivi.
 
Last edited by a moderator:


0009.gif

0012.gif
0009.gif
0011.gif
0005.gif









mbona mwisho umeweka popobawa? Loh
 
Any good reason kwa nini huwa hutoi 'like'? Just curious.

Bishanga,
mara nyingi kama cko ofsini huwa natumia phone,that's why nashindwa kukugongea LIKE,Ila worry not,one day ntakugongea 'LIKE' Mkuu.
 
ivi kuna zile zama za thanks...!mnazikumbuka????!.....

ile jf ilikuwa tamu sana...!kuna njemba ilikuwa inaitwa maxishimba!...ilikuwa tisha mbayaaa....
 
Back
Top Bottom