'likes' hazilipiwi LUKU!



0009.gif

0012.gif
0009.gif
0011.gif
0005.gif








 
Kumpiga mtu 'like' ni kumwonyesha unathamini mchango wake,tendo ambalo ni jema na la heri.Jamani we are family!
Ndugu mdau,hebu jipime kwa kutumia kipimo hiki cha ukarimu.Nenda kwenye profile yako chukua idadi ya 'likes given' gawa kwa idadi ya 'likes received' kisha zidisha mara mia moja. Kipimo hiki kinaitwa UKARIMU METRE (UM) na geiji yake inaanzia 100,hivyo UM yako ikizidi 100 hiyo ni chanya UM ikiwa chini ya 100 hiyo ni hasi UM.

Mfano: Bishanga likes given 4286 gawa kwa likes received 2763 zidisha na mia moja napata 155 UM.
Kwa kuperuss haraka haraka top five ya UM huku kwetu chichat na mmu ni:

1 mathematics:178/37 x 100 = 481 UM
2 MziziMkavu: 7691/2319 x100 = 331 UM
3 Mtambuzi : 3936/1959 x100= 201 UM
4 sweetlady:2591/1371 x100=188 UM
5 @Babudc: 5406/2895 x 100=187 UM

Bottom five ni:
1 Eiyer: 0/1139 x100=0 UM
2 @angelmsoffe: 0/968 x 100=0 UM
3 simplemind: 0/262 x100 =0 UM
4 madameB :0/56 x 100= 0 UM
5 kipipili: 0/39 x 100 =0 UM

Specia mention:mad:The Boss na Asprin kwa kutoa likes zaidi ya elfu kumi kila mmoja wao.
Cantalisia na FirstLady kwa kutoa likes zaidi ya 2400 kila mmoja wao.
Kongosho ametoa likes 3517 ila sijui jinsia yake,hivyo simpongezi.
ANGALIZO MAALUM:
Lizzy hajawahi kunipiga 'like' hata siku moja.

Hahahaaa hivi Bishanga huwa unawazaga nini lakini?ningependa kujua hebu niPM basi
 
Last edited by a moderator:
Mh, haya, wengine visimu vya kichina internet tuliipatia makao makuu ya tigo, sasa hapo kwa like! Loh
 
Back
Top Bottom