Like faza like son

Like faza like son

Acha unafk unamuuliza nani? Kwan huoni jina lake si umuulize yeye na una uliza wakina nani hawa? hii jamii folium ni ya baba yako pumbav acha kuish kwa mazoea unajiona uko peke yako sio.
Don't panic mr Folium just take it easy
 
Eheheh wanaume wa jf na sura zao wanavyoamuaga kutuchamba oooh wanawake wa jf wabaya bla bla
Haya mwingime nae ajirushe,we umejitahidi
Unatukosea sana sisi wanaume unatufananisha na KIVULANA, tafadhali sana tofautisha wanaume na Kavulana.

Umeona hata punje ya ndevu kwenye koromeo lake?
 
Utoto na malezi mabovu ndio tatizo, kuandika kwenyewe mgogoro alafu anashupaza shingo kutukana!!!
Tanzania yangu naipenda sana! Dogo anatabia chafu sana halafu ana km msongo wa mawazo! Anahisi jf sehemu ya kutukana hovyo na kutaka kujiona mwanaume!

Aende kwa sizonje akalie lie huko
 
Jamanii wekeni masihara pembeni. Huyu mtoto anahitaji msaada wa haraka .Afya yake ya akili si nzuri na ili kuthibitisha hilo utaona hata mimi ninae jitahidi kumuelewa atanitukana
 
Huyu inaonekana kawaida yake mkuu,,,nimekuta post yake hii MMU,mkuu huyu yan anaoneka busara 0%
7022809bea67dc0a9de1b964e77b8b88.jpg

Psychiatric case huyu. Anachangamka pale tu dawa zikiisha nguvu
 
Upuuzi mtupu...mods wamelala au..ondoa uchafu huu
Kwani hapo kuna kosa gani la kisheria kwa mujibu wa kanuni za JF alilolifanya mpaka unawashawishi mods waondoe post yake?

Watu wengine bwana!!!

Binafsi naona hii comment yako ndio uchafu unaostahili kuondolewa, sababu imekaa kibaguzi na kufedhuri.
 
PUMBAV ZENU MNADHAN JAMII FOLIUM HII NI YA BABA YENU KIAS CHA KUSODOA KAMA WANAWAKE KENGE PUMBAV ZENU.
Asante sana wakirudia tena uwaongeze!

Wanakusema vibaya wakati hakuna kosa ulilolafanya la kustahili kauli za dharau wanazokushushia.

Hongera jombaa kwa kuongeza zagamba kwenye hii dunia
 
Sikuiz wakubwa wachache wamekuwa mashosti na mashost wenye jina lao nao wamegeuka kuwa wachanga wadekao ndio maana wanatuonesha makalio yenye michilizi misula ilio chubuka wanja wa kinafki kama midoli iliyo na dhana ya shetani, tena hao hao ndio wanataka waitwe wazaz wema, wametanguliza ujinga mbele bila hata haya NA KUANZA KUDODOSA NILICHO POST? MNAISHI KWA MAZOEA? "JAMII PHOTO ni sehemu maalum ya kuweka picha sasa baadhi ya wehu na wendawazimu wao wanaish kwa mazoea kw kuwa hawaoni mtu kaweka picha ndio wanajifanya et wanajua sana kumbe ni wapumbav wasio na mfano, mimi sifanyi kile kinacho wapendeza ' mmesikia nyie baadhi?nafanya kile kilicho sahihi. Na UJINGA HUO PELEKA KWENU MAANA HUWEZ KUNIAMBIA NIPOST KILE AU NISIPOST HIKI lbda tu, jamii folium ikiwa ni ya mama yako hapo sawa pumbav kabsa.
Daby ukuje jamifolium
 
Back
Top Bottom