Sikuiz wakubwa wachache wamekuwa mashosti na mashost wenye jina lao nao wamegeuka kuwa wachanga wadekao ndio maana wanatuonesha makalio yenye michilizi misula ilio chubuka wanja wa kinafki kama midoli iliyo na dhana ya shetani, tena hao hao ndio wanataka waitwe wazaz wema, wametanguliza ujinga mbele bila hata haya NA KUANZA KUDODOSA NILICHO POST? MNAISHI KWA MAZOEA? "JAMII PHOTO ni sehemu maalum ya kuweka picha sasa baadhi ya wehu na wendawazimu wao wanaish kwa mazoea kw kuwa hawaoni mtu kaweka picha ndio wanajifanya et wanajua sana kumbe ni wapumbav wasio na mfano, mimi sifanyi kile kinacho wapendeza ' mmesikia nyie baadhi?nafanya kile kilicho sahihi. Na UJINGA HUO PELEKA KWENU MAANA HUWEZ KUNIAMBIA NIPOST KILE AU NISIPOST HIKI lbda tu, jamii folium ikiwa ni ya mama yako hapo sawa pumbav kabsa.