Like faza like son

Like faza like son

Sikuiz wakubwa wachache wamekuwa mashosti na mashost wenye jina lao nao wamegeuka kuwa wachanga wadekao ndio maana wanatuonesha makalio yenye michilizi misula ilio chubuka wanja wa kinafki kama midoli iliyo na dhana ya shetani, tena hao hao ndio wanataka waitwe wazaz wema, wametanguliza ujinga mbele bila hata haya NA KUANZA KUDODOSA NILICHO POST? MNAISHI KWA MAZOEA? "JAMII PHOTO ni sehemu maalum ya kuweka picha sasa baadhi ya wehu na wendawazimu wao wanaish kwa mazoea kw kuwa hawaoni mtu kaweka picha ndio wanajifanya et wanajua sana kumbe ni wapumbav wasio na mfano, mimi sifanyi kile kinacho wapendeza ' mmesikia nyie baadhi?nafanya kile kilicho sahihi. Na UJINGA HUO PELEKA KWENU MAANA HUWEZ KUNIAMBIA NIPOST KILE AU NISIPOST HIKI lbda tu, jamii folium ikiwa ni ya mama yako hapo sawa pumbav kabsa.
ulimaliza futa picha yako mrudishie phone dada yako maana namtumia sms hajibu kumbe phone unayo wewe
 
haaaaaaaaa anakuambia jamii folium
cbfd8338d0b0c201e712fd49a6a6d093.jpg
 
Sikuiz wakubwa wachache wamekuwa mashosti na mashost wenye jina lao nao wamegeuka kuwa wachanga wadekao ndio maana wanatuonesha makalio yenye michilizi misula ilio chubuka wanja wa kinafki kama midoli iliyo na dhana ya shetani, tena hao hao ndio wanataka waitwe wazaz wema, wametanguliza ujinga mbele bila hata haya NA KUANZA KUDODOSA NILICHO POST? MNAISHI KWA MAZOEA? "JAMII PHOTO ni sehemu maalum ya kuweka picha sasa baadhi ya wehu na wendawazimu wao wanaish kwa mazoea kw kuwa hawaoni mtu kaweka picha ndio wanajifanya et wanajua sana kumbe ni wapumbav wasio na mfano, mimi sifanyi kile kinacho wapendeza ' mmesikia nyie baadhi?nafanya kile kilicho sahihi. Na UJINGA HUO PELEKA KWENU MAANA HUWEZ KUNIAMBIA NIPOST KILE AU NISIPOST HIKI lbda tu, jamii folium ikiwa ni ya mama yako hapo sawa pumbav kabsa.
Folium teena[emoji15] [emoji15] [emoji15] [emoji15]
 
Dogo anaonekana kabisa hajanyonya maziwa ya mama alivyokuwa mdogo,.... kichwa chote kimejaa makamasi
hahahahahaaaa kaiba cm ya dada yake toka mda huo namwambia amrudishie maana nampigia anapokea yeye nilituma sms hawez kifungua zina pin so nimembembeleza saana apeleke xm hatak mwisho nimekubal matokeo nasubir iishe charge tu hatoichukua tena
 
Eheheh wanaume wa jf na sura zao wanavyoamuaga kutuchamba oooh wanawake wa jf wabaya bla bla
Haya mwingime nae ajirushe,we umejitahidi
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]
Yaani umenichekesha,eti amejitahidi.
 
Hehehe hizo ndio sura zao tena huyo mzuri mbona,,wapo humu wewe
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]
Watakwambia mwanaume hasifiwi sura wakati ndio wanaozaa watoto wa kike walofanana nao mwisho wa siku hali inakuwa sio hali!!
 
Back
Top Bottom