Like faza like son

Like faza like son

Asante kwa kuunga mkono kauli ya Sizonje fyatueni nitasomesha kwa vitendo
 
mimba za uzeeen with its problem katoto ka mwsho kanadhn katoto ka mwsho dunia nzma
 
Naona umeamua kujiuluzu ili kumuunga mkono mh rais
 
Kuanzia saa hz najiuzuru upande mnaomzingua dogo ili nimuunge mkono dogo,,,haiwezekani jamii folium tusiuze sura sisi wapenda kuuza sura yan jamii folium bila kuuza sura tunakuwa kama makalai tu na naona kabisa jamii folium photo imeshapoteza dira na sisi tunataka kuirudisha hadhi Yake kama zamani
 
Siku akija kujua huu ushuzi alioufanya ataishia kucheka pekee ake maana umu watu wanatunza kumbukumbu hatari.
 
PUMBAV ZENU MNADHAN JAMII FOLIUM HII NI YA BABA YENU KIAS CHA KUSODOA KAMA WANAWAKE KENGE PUMBAV ZENU.
Tumekusamehe bure kwakua tumesha gundua ulifanya hivo ili ujulikane kuwa unajua/unaweza.bahati mbaya UJUHA wako umesha julikana.

~Mithali 17:25 inasema hivi."Mwana mpumbavu ni huzuni kwa babaye na uchungu kwa mwanae alie mzaa".

~Mithali 18:2 inasema hivi."Mpumbavu hapendezwi na ufahamu,Ila moyo wake udhihirike tu"

~Mtoto jifunze kujifunza.
 
nilipo kuta uzi unasema like father like son
mimi nika jua mugabe na grace
 
PUMBAV ZENU MNADHAN JAMII FOLIUM HII NI YA BABA YENU KIAS CHA KUSODOA KAMA WANAWAKE KENGE PUMBAV ZENU.
Hahaaaaaa!! Hii jamii folium ni ya baba yetu mkuu, kumbe ulikuwa hujui!!!
 
Hongera unafanana na Mdogo wako
 
Back
Top Bottom