ndetichia
JF-Expert Member
- Mar 18, 2011
- 27,769
- 6,585
mineno hiyo kaka..kwa kuwa yanga na azam amefungwa mimi mwenyekiti wa simba,mr aveva namuongezea mr phiri mechi 2 zingine,hii sii hesabu
mineno hiyo kaka..kwa kuwa yanga na azam amefungwa mimi mwenyekiti wa simba,mr aveva namuongezea mr phiri mechi 2 zingine,hii sii hesabu
Great newsFULL TIME:
Kager Sugar 1-0 Yanga.
*KAITABA MPIRA UMEKWISHA*
bora stand untd wanikoshe timu ya nyumbani..
Hata hivyo azam ndo walikuwa wanaomba mpira uishe manake hawa wamakonde wa mtwara si mchezo,,, lambalamba imeyeyushwa hapa nangwanda-Mtwara, Mtwara kucheleeeeeNdanda wamejitahidi kukaza makalio
Mimi nashangaa watu wamepigwa mti ukaingia vilivyo Kaitaba lakini wanakata kiuno droo na aliyewatungua 2 mtungi.
Naona phiri na maximo hawapo mbali kufuata nyao za mwenzao denis kitambi wa ndanda fc ya Mtwara......maximo unaipeleka wapi yanga wewe mzee!!!!! wapi pluijm????Sisi hatufukuzi kocha kama unanunua sidiria.
Naona phiri na maximo hawapo mbali kufuata nyao za mwenzao denis kitambi wa ndanda fc ya Mtwara......maximo unaipeleka wapi yanga wewe mzee!!!!! wapi pluijm????
Yanga kwa Mtibwa ni NYANYA; Yanga ililambwa 2-0(mbili kwa mtungi)Hivi Yanga na Mtibwa matokeo yalikuwaje?
Hapa kunamkono mtu......