Ligi Kuu Vodacom, Raundi ya VI

Ligi Kuu Vodacom, Raundi ya VI

Simba ina tofauti ya pointi mbili tu na walio MKIANI
 
tumetoka kwenye mfano kwa kila mechi sasa nawauliza kila wiki mnatengeneza droo makabati mtaanza lini kutengeneza?
 
Wakuu mbona jukwaa halina watu, naomba matokeo ya Mbeya City na Mgambo Shooting.
 
Mtakapoacha kufanya vurugu mnapokikalia kama jana huko Kaitaba.
 
Ndumbaro ndiyo 'anatufanya tusishinde' hii ni yangu bonafsi na naomba mods wasiifute
 
Msimamo wa Ligi baada ya mechi za wikiendi hii

10678685_788386707886188_2277832927282013218_n.jpg

Kwa hisani ya Kandanda | The World of Football
 
naomba niwajulishe mashabiki wa mpira wa miguu kuwa timu ya simba bado haijafanya vibaya kwenye ligi mpaka hivi sasa haijafungwa ila azam yanga na mbeya city ndizo zilimefanya vibaya kwani point hawajaachana sana azam na yanga wamesha poteza point sita mbeya city point tisa ukiangalia city azam yanga ndizo wamefanya vibaya mwenye upeo mdogo atabisha kwa hayo
 
Ebu fafanua vizuri

simba point 6 mechi sita amepoteza 12

Azam point 10 mechi sita amepoteza point 7

Yanga point 10 mechi sita amepoteza point 7

sijui uelewa wangu ni mdogo hapo juu ulipoandika
 
Konaball, rage aliwabatiza mashabiki wa simba jina gani lile?..Nikumbushe
 
Ebu fafanua vizuri

simba point 6 mechi sita amepoteza 12

Azam point 10 mechi sita amepoteza point 7

Yanga point 10 mechi sita amepoteza point 7

sijui uelewa wangu ni mdogo hapo juu ulipoandika

Ismael Aden Rage anawajua vizuri baadhi ya jamaa zake hao ndio maana aliwaita mbumbumbumbu. Huyo hajui kuwa katika michezo miwili ni afadhali ushinde mmoja na kupoteza mmoja upate point tatu kuliko sare zote mbili upate point mbili!
 
naomba niwajulishe mashabiki wa mpira wa miguu kuwa timu ya simba bado haijafanya vibaya kwenye ligi mpaka hivi sasa haijafungwa ila azam yanga na mbeya city ndizo zilimefanya vibaya kwani point hawajaachana sana azam na yanga wamesha poteza point sita mbeya city point tisa ukiangalia city azam yanga ndizo wamefanya vibaya mwenye upeo mdogo atabisha kwa hayo

Asante kwa taarifa.
 
Haya ndo matatizo ya kulikimbia somo la hisabati.
 
Back
Top Bottom