Ligi Kuu Vodacom, Raundi ya VI

Ligi Kuu Vodacom, Raundi ya VI

Simba kudroo ni habari, ila Kandambili kufungwa ni habari nzuri zaidi.
 
kwa ma tokeo haya ligi ya vodakom mwaka huu kiboko
simba 1 mtibwa 1; yanga 0 kagera 1;
 
Asee,Dar si Tanzania peke yake.Nao wametoka Kagera wanaenda mkoa wa Dar(usiogope mkuu,sentesi ipo upside down)nacheeka!
 
10414898_727047404009628_8639477465525560991_n.jpg



[TABLE="class: matches"]
[TR="class: odd expanded match no-date-repetition"]
[TD="class: day no-repetition"]J'Mosi
[/TD]
[TD="class: date no-repetition"]01/11/14[/TD]
[TD="class: team team-a"] Kagera Sugar[/TD]
[TD="class: score-time status, align: center"] 1 v 0
[/TD]
[TD="class: team team-b"] Yanga[/TD]
[/TR]
[TR="class: even expanded match no-date-repetition"]
[TD="class: day no-repetition"]
[/TD]
[TD="class: date no-repetition"]
[/TD]
[TD="class: team team-a"] Coastal Union[/TD]
[TD="class: score-time status, align: center"] 1 v 0[/TD]
[TD="class: team team-b"] Ruvu Shooting[/TD]
[/TR]
[TR="class: odd expanded match no-date-repetition"]
[TD="class: day no-repetition"]
[/TD]
[TD="class: date no-repetition"]
[/TD]
[TD="class: team team-a"] JKT Ruvu [/TD]
[TD="class: score-time status, align: center"] 1 v 2[/TD]
[TD="class: team team-b"] Polisi Morogoro[/TD]
[/TR]
[TR="class: even expanded match no-date-repetition"]
[TD="class: day no-repetition"]
[/TD]
[TD="class: date no-repetition"]
[/TD]
[TD="class: team team-a"] Ndanda[/TD]
[TD="class: score-time status, align: center"] 1 v 0[/TD]
[TD="class: team team-b"] Azam[/TD]
[/TR]
[TR="class: odd expanded match no-date-repetition"]
[TD="class: day no-repetition"]
[/TD]
[TD="class: date no-repetition"]
[/TD]
[TD="class: team team-a"] Stand United[/TD]
[TD="class: score-time status, align: center"] 1 v 1[/TD]
[TD="class: team team-b"] Tanzania Prisons[/TD]
[/TR]
[TR="class: even expanded match no-date-repetition"]
[TD="class: day no-repetition"]
[/TD]
[TD="class: date no-repetition"]
[/TD]
[TD="class: team team-a"] Mtibwa Sugar[/TD]
[TD="class: score-time status, align: center"] 1 v 1[/TD]
[TD="class: team team-b"] Simba[/TD]
[/TR]
[TR="class: odd expanded match no-date-repetition"]
[TD="class: day no-repetition"]J'Pili[/TD]
[TD="class: date no-repetition"]02/11/14[/TD]
[TD="class: team team-a"] JKT Mgambo[/TD]
[TD="class: score-time status, align: center"] v [/TD]
[TD="class: team team-b"] Mbeya City
[/TD]
[/TR]
[/TABLE]
mwenye msimamo wa ligi baada ya mechi za leo ili niione coastal yangu iko nafasi ya ngapi?
 
mwenye msimamo wa ligi baada ya mechi za leo ili niione coastal yangu iko nafasi ya ngapi?
Coast ipo nafasi ya 2, na mjomba yenu Simba yupo nafasi ya 8 ila kesho wanaweza kurudi nafasi ya 10 kwa matokeo ya jkt mgambo vs mbeya city....Hongereni sana SIMBA UKAWA.
 
Simba mnaweza kuchukua ubingwa na matokeo yenu haya haya.
umenena vyema mtumishi..........kawia ufike............polepole ndio mwendo......................haba na haba hujaza kibaba.....................simba mwenda pole ndiye mla nyama.............................harakaharaka haina baraka
 
Mtwara Kumekucha! Pia kuna blog inaitwa Mtwara Kumekucha, Mtwara Yetu, Kusini Wordpress nk utakutana mambo kibao kuhusu Mtwara
Asante kwa kumjibu vizuri katavi,
Mtwara kwel kuchele...
 
Sisi hatufukuzi kocha kama unanunua sidiria.

'Sisi' nini maana yake? Wewe ni nani katika Azam FC? You are explicitly nobody! Soma hapa chini:

BAO pekee la Jacob Massawe dakika ya 15 limeipa ushindi wa 1-0 Ndanda FC dhidi ya mabingwa watetezi, Azam FC Uwanja wa Nangwanda Sijaona, Mtwara katika mchezo wa Ligi Kuu ya Vodacom Tanzania Bara.Huo unakuwa mchezo wa pili mfululizo, Azam kupoteza baada ya Jumamosi iliyopita kuchapwa 1-0 pia na JKT Ruvu Uwanja wa Azam Complex, Chamazi, Dar es Salaam.


Matokeo hayo, yanaifanya timu hiyo ya Alhaj Sheikh Said Awadh Bakhresa na familia yake ibaki na pointi zake 10, baada ya mechi sita, wakati Ndanda saa inadikisha pointi sita.


Mechi nyingine za ligi hiyo leo, Coastal Union imeilaza 1-0 Ruvu Shooting Uwanja wa Mkwakwani, Tanga bao pekee la Itubu Imbem dakika ya 54, wakati JKT Ruvu imefungwa 2-1 na Polisi Moro Uwanja wa Azam Complex, Chamazi, Dar es Salaam. (Source: Azam FC 0-1 Ndanda Mtwara | The Official Website of Azam Football Club)

Je wewe Kitoabu ni Bakhressa na Familia yake? Acha kujipendekeza kijana, jitambue sasa umekua.
 
Last edited by a moderator:
kwa ma tokeo haya ligi ya vodakom mwaka huu kiboko
simba 1 mtibwa 1; yanga 0 kagera 1;

Ndanda 1-0 Azam....... mambo yaende hivihivi ili wapunguze kusajili kwa kukomoana na kujisifia magazetini..
 
RnTimuPWDLFAGdPts
1MTIBWA SUGAR642092714
2Coastal Union632185311
3Azam FC631263310
4YANGA631275210
5KAGERA SUGAR62315329
6RUVU SHOOTING621345-17
7JKT RUVU621357-27
8SIMBA SC60606606
9T. PRISONS61326606
10MGAMBO SHOOTING520324-26
11POLISI MORO613257-26
12NDANDA FC6204710-36
13STAND UNITED613249-56
14MBEYA CITY512213-25
 
Back
Top Bottom