Ligi Kuu Vodacom, Raundi ya VI

Ligi Kuu Vodacom, Raundi ya VI

Simba hahahaha na wana bahati wangefungwa Leo!
 
Huyu Maximo bado kidogo uvumilivu umeanza kutushinda.
 
Hawa walima korosho ndio wamekaza tu mpaka mida hii?
 
Nasikia UKAWA wa simba walisema kuwa leo ni drop ya 6 hahahahaha!
 
FULL TIME:


Coastal Union 1-0 Ruvu
 
Mpira umemalika hapa Nangwanda ndanda 1-0 azam
 
Simba ni timu ya kuweka rekodi, .. tumekuwa timu ya kwanza kutoa droo sita mfululizo, kama tulivyokuwa wa kwanza kutwaa ubingwa wa EA, mtani jembe, nk.
 
Back
Top Bottom