Ligi Kuu Vodacom, Raundi ya VI

Ligi Kuu Vodacom, Raundi ya VI

Simba mganga wao kaenda vibaya sana yaani wao wanapewa goli moja moja na point tuu
 
Polisi, tupe matokeo kutoka Kambarage mkuu
 
Last edited by a moderator:
Hapo tumeshalala! Maximo atafakari njia zake, ataimbishwa kale kawimbo: Kwetu pazuri nimeshapakumbuka!

Full Time: Kagera Sugar 1-0 Young Africans.

Kwa nn kaitaba na jamhuri huwa tunaumia?

Kwa nn
 
kwa kuwa yanga na azam amefungwa mimi mwenyekiti wa simba,mr aveva namuongezea mr phiri mechi 2 zingine,hii sii hesabu
 
Naona yanga wanaleta vurugu kaitaba. Ugenini kugumu. Simba tushaanza kuzoea hali tete. Poleni yanga na azam siye simba sidhani kama tunastahili pole, tushazoea draw. Inavyoelekea kifungwa inauma zaidi ����
 
Back
Top Bottom