Jamani updates simba ngapi?
simba, piga hao mtibwa sugar bao 2-2 tu.
1-1 bado dak. 5 mchezo uishe.
Kwani maximo nae anaendelea kung'ang'ania wale wazungu wake!! wapi babu pluijm jaman huyu maximo mizinguo tu..Hawa wazee wa sugar kwetu ni sumu kitambo.
Kandambili niaje wakubwa?
Simba bado hakijaeleweka mkuu. Point 3 ni Shiiiiiiidaaa.Simba vipi wakuu??
Kagera Sugar 1-0 Young Africans. Mtibwa 1-1 Simba.
Kwani maximo nae anaendelea kung'ang'ania wale wazungu wake!! wapi babu pluijm jaman huyu maximo mizinguo tu..
Kwani maximo nae anaendelea kung'ang'ania wale wazungu wake!! wapi babu pluijm jaman huyu maximo mizinguo tu..
Hii gemu tukichomoa ni jambo la kheri sana..
Huyu naye apewe mechi 2 tu tuachane naye.