Analyse
JF-Expert Member
- Jan 19, 2014
- 17,638
- 47,704
- Thread starter
- #1,681
Sawa mkuu, tunasubiriaOk, ntaandika nikipata muda humu humu,,, ntaandika jinsi nilivyokutana na mjeshi mmoja jambazi aliyewahi kusumbua sana miaka ya nyuma anaitwa kamanda dogo na story yake humo ndani..... Ntaelezea upande ambao haujawahi kuelezwa na hisia zake juu ya mauaji aliyowahi kufanya na mahusiano yake ya mapenzi.