nergomafioso
Senior Member
- Apr 3, 2024
- 158
- 362
Mbona ni nzuri kwa nini usiipaste ukaianzishia uzi mpya leo dada
Nilivyotana na komando dogo
Story hii ilinitokea nikiwa na miaka kumi na tisa ,, kwa sasa ni mama wa watoto watano nawapenda sana.
Picha linaanza,,,,
Familia yetu ilikua ya baba na mama na watoto kadhaa. Mungu baba awabariki waendelee kupumzika kwa amani!. Baba akiwa mtumishi na mama akiwa mfanyabishara wale wa mwanzo mwanzo Tanzania kuuza vitenge, lotion zenye kemikali akitoa kongo na kuleta Tanzania.
Baadhi ya safari niliweza kusafiri nae sana kwani nilikua mtoto wa mwisho nadhani hakuwa na wa kumuachia au usalama wa malezi ilikua ndogo. Kimuonekano mi ni kama shombe shombe japo mama ni mtusi na baba kanda ya ziwa( japo mama alikua akisisitiza kuwa sisi si ndugu zake yaani damu yetu ya kitanzania na yeye kitusi)
Sitasema nilipotoa connection ya safari hii kwani ntakua kama natangaza habari za watu ntajitahidi kuandika ninayokumbuka na majina hayatakua halisi yote nimetunga kwani baadhi ya wahusika wapo hai na wana nafasi za juu na baadhi ni matajiri wakubwa sana.
Picha linaanza....
Leo dada nenda kwa aunt salma n nenda kwa aunt salma akakufundishe kazi , ramani jinsi ya kwenda na kurudi kumbuka hapa natakiwa kwenda congo mimi nikiwa kama mtu wa mwisho ambae ntasafirisha salama bila kushtukiwa kwani yale madini ni ambayo yameporwa kutoka kwa watu na magenge mbalimbali.
Basi nilika kwa aunt salma alikua akiishi mwenge mlalakua!!!!! Nililala hapo kesho yake mzee fahadi kutoka zanzibari alifika akaanza manyanga yake ramli ikaonyesha mimi ni mtu sahihi nyota kali ninayo natakiwa kuoga dawa na kukabidhiwa pete ya dhahabu yenye kidani cheupe na bluu. Usishangae ujasiri nilitoa wapi sijui.... Nilikabidhiwa kesho yake boss wangu akafika akaniambia jiandae safari yako itaanzia tabora itabidi uanzie hapo kuna gari itaondoka hapo taarifa zote utazipata ukifika hapo muhimu jiamini...... Unaona hizo pete zitakuvusha na kila aina ya hatari na ukiziomba itakua unavyotaka kumbuka miko ya kazi usimuamini mtu yoyote,, jiepushe na mapenzi ukiwa ndani ya mission kila safari ina plan a,b, na c sasa ukitoka nje ya plan zote umekwisha na hutakua na back up yoyote ile.
Kesho safari ilianza kwa gari ya nbs mpaka tabora,, nilipokelewa na shangingi moja lilikua likiishi isevya kazi yake alikua na pub na kuuza warembo wa chuo na wale wa mtaani. Alinipeleka lion hotel au tabora hoteli ,,,,,..... Tuliongea pale akasema kashniombea lift kupita kule ni usalama wangu makundi pinzani yasiweze kunitrace kwa urahisi . Baada ya siku tatu saa kumi alfajiri safari ilianza.
Kwenye gari nilikuwemo leo dada, tajiri mwenye Lori na tingo ambae alikua ni dereva kamili lakini kwa safari ile boss yeye alikua akienda kuchukua madini kivyake mi nilipanda kama kamalaya ambako kalikua kanaenda kwao na hakana nauli maisha yamemshinda ...... Kwa muonekano wangu hakunitilia shaka hata kidogo!!!! Safari ilianza mpaka nzega tulipata chai safari ikaendelea mpaka kahama gari ilisimama bijampora high way tulipata chakula na muda huo ilikua saa nane gari ilifanyiwa service ndogo ndogo sasa ikaonekana tulale kahama maana kwa kipindi kile utekaji ilikua mkubwa tu. Tajiri mwarabu alifatwa na waarabu wenzie wa nyihogo petro station nikabaki na dereva eti tulale kwenye gari huku nikikumbuka niko kazini halafu eti nilale na dereva alikua kavaa vest na vzuzi lake la njano nikasemaa nooo..... Sitwiwii kizembe nikamzuga pale akanipeleka gesti inaitwa anex na wote watatu tulikubaliana safari ianze saa moja kamili asubuhi..
Uso kwa uso na komando dogo
Asubuhi Safari ilianza mpaka masumbwe hatukusimama mpaka ushirombo . Pale ushirombo boss wa gari alienda kulipia askari kwa ajiri ya escort na safari ikaanza tulivuka salama mpaka runzewe tukapata chakula gari ikachekiwa tayari kwa safari ...... Kosa kubwa kwa upande wa boss wa lori kumbe alikua akiwindwa na komando dogo na jeshi lake alisababisha mauaji ya mdogo wake yaliyopelekewa kulipuliwa kwa bomu. Hii alikuja kunisimulia badae sana.
Basi safari ilianza kuelekea nyakqnazi tuki wa katikati runzewe na nyakanazi hapo huwa kuna kama hifadhi basi tunaendel ea na safari ghafla mtu akatua katikati ya barabara akiwa kavalia kijeshi na huku kashika machine gun movie za kina Rambo,,, ndani ya sekunde moja yule askari akawa keshatupa ile bunduki yake ya kukoki na kuvua zile yuniform zake,,,,, dirisha la kulia na kushoto tayari wanajeshi wa komando Wana ninginia kama ambavyo ulhuwa unaona kwenye movie za kijeshi!!!!!!!!!!! Komando dogo kasimama pale sheria ni moja simamisha gari au aanze kulenga matairi ya gari au kichwa cha dereva.................
Dereva alitii sheria akasimama...... Askari alishushwa sikujua alipotea vipi lakini nilijua baadae sana ndie aliemchomesha boss....komando alifika mpaka kwenye gari akanishusha kwa amri!!!!! Mule kwenye gari boss aliulizwa kifo cha damu yangu utalipia Nini akasema chochote akainua kitanda cha kwenye gari hapo kulikuwa na bastola,, fedha za kitanzania kimpqngilio ilikua zaidi ya million ishirini na dola za kutosha ,,, komando alimjibu hiyo haifikii hata robo. Akamwambia ntakupa na binti yangu umfanye unachotaka yaaani mimi ( muda huo nahisi presha najuta ni nini hiki ujuaji wangu umenifikisha hapa naliwa mande na hawa wajeshi sura kaksi zina maanisha!!) Akajibiwa tunauwezo wa kupata mwanamke yoyote tunaaemtaka akamtaja miss mmoja mama wawili kipindi hicho anatamba....
Akaamliwa ashuke amnyonye mbloo yule tingo wake mpaka isimame na amkqtikie mpaka ashushe wazungu kiufupi boss apumuliwe na mfanyakazi wake.
Komando alinitoa hapo mpaka kwenye kipori huku natetemeka akavua zile nguo kulikua na gari land cruiser tukapanda njia za pori tukaingia nyakanazi na mpaka nikafika ngara. Ngara alinipeleka mpaka kabanganike akaniambia kwa ufupi plan a imefeli hii ni b mi ni back up yako kutokea kahama mpaka kongo drc.
Naomba nipumzike sio mwandishi mzuri naamini mtaelewa.