nakumbuka alikupiga kabali hadi ukanya!Mshua wangu ni mtata by nature yani 😅
Kwamba, bila wewe wasingejuana 😂😁😁😁🤗nitakua kama mshua wako kwa mwanangu aseeee,,ole wake amtafte mme wangu bila ruhusa angu😂🙌🏾
Moto wako mkali mkuu ndo maana mtoto akizikusanya za kutosha anataka wewe ndo umtoe inaonekana jamaa yake alikuwaa na kibamiaShida ni kwamba alikuwa na mpenzi wake mwenye fyucha nae 😅
Kaa kasha meku
Ayau mekuKaa kasha meku
Kwa namna nilivyokujaga kuongea nae vitu alivyoniambia, yuko peace na maisha aliyochagua.Nimecheka sana we na baba yako [emoji1787]
halafu kingine mzee ky: Mbona wenzako wakina kina mzee kidevu wapo lindi huko, nasikia wameokoka sasa hivi na wewe anzisha hata kanisa huko ulipo [emoji1787][emoji1787] huyu mzee nyie yaani utapeli umemfanya kila kitu anakichukulia simple