Mshua anamikwara sana 😂😂Aina noma mkuu 👊
😁😁 asee ila unakipaji sana mkuu, wewe ni bingwa kwenye nyanja ya masimulizi asee😊Atakuwa amepumzika muda huu, usimchokoze 😅
Haina noma mkuu, shukrani maana tumepata hata hii 🙏Hapa kwenye najitahidi, ila nipo tight sana yani
Duuh kuna chimbo nadhani kasotea 😁Mbona yupo tu😊
Hahaaa! Hata ikiwa kweli hakuna baya mkuu maisha ndio haya haya 😁Yani huyo ni rafiki yangu sna ,mpaka kuna watu wahisi ni mtu wangu😁😁😁
Unyama sna , kuna stories ile ya jeshi nahis 100% ni wewe ulimwandikia ephen ila mimi sio nabii😅😅😅Pamoja sana mkuu 🙏
me baba akitaka kufanya maamuzi ya roho mbayambaya ndio ananitumia sasa ananiacha hoi mi nkishafanya yangu ye anarud kuomba fairMshua wangu ni mtata by nature yani 😅