Life begins at 40 Vs Midlife crisis

Acha kuwaza hiyo!unaweza jikuta umeoa katoto kabichiiii ka 18 kanakutia joto🀣🀣🀣
πŸ˜‚ nitaacha haya mawazo, sijaoa bado huna wifi ila nitaoa binti mbichi kabisa 18-24 unanishaurije?
 
Nimekuuliza hivyo coz maisha ya kibongo yanatuchelewesha sana, at 30 bado tunasoma, at 35 hatuna stable income, at 40 tunawaza kuoa...unadhani kweli life begins at 40 mkuu?
 
Kuna vingine vigumu 🀭 havibalansiki kwa uharaka… lazima ubaki nyuma kidogo, ama utangulie.
True, na hapo ndio tunakutana na midlife crisis at 40. Havikwepeki..
 

True mkuu, kuna wengine hapa maisha hayakuturuhusu kuwa watoto ama reckless kwenye balehe ndio maana naona dalili nyingi tajwa nimekuwa nazo toka nikiwa late 10's .

I wish hii mada niwatumie watu wengi zaidi maana kwa vijana wa sasa pressure ya maisha ni kubwa japo kwa walioishi enzi za kazi zikitafuta watu. Hawawezi kuelewa
 
Yeah, walioishi kipindi kazi zikitafuta wat(80s na early 90s) hawawezi kuelewa.
 
Hapo kwenye 77 nimepata ukakasi maana umempiga gap hadi mshua wangu na huwa nakuita bro 😁😁

Ila huwa una madini sana kuhusu life na huwa hubanii kuchangia. Shukrani na ubarikiwe sana kwa hilo "brother" πŸ™πŸ½
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…