Life begins at 40 Vs Midlife crisis

Hii kauli ya life begins at 40 ni ya wazungu. Mtu kibao wanapata kazi wakiwa na miaka 36. Sasa anajipangaje na kutimiza yote ndani ya miaka 3?
Bongo kwenye 50 years ndio unaiona ramani ya maisha yako very clear.

Chini ya hapo ni ubatili mtupu, unaweza kula Bata miaka mitano then miaka 6 Msoto mkali.
 
Mafao yatoke wapi asilimia 60 hata hiyo ajira awana😭😭😭
 
Bongo kwenye 50 years ndio unaiona ramani ya maisha yako very clear.

Chini ya hapo ni ubatili mtupu, unaweza kula Bata miaka mitano then miaka 6 Msoto mkali.
Halafu mleta mada anatupigia porojo za Ulaya hapa! Mpk 30 inagonga ndiyo anakumbuka kwenda kupanga chumba. Kuja kupata kiwanja 40 hii hapa. Mpk 50 inagonga nyumba haijapigwa plasta
 
Ni kweli Mkuu, cha msingi wekeza ili watoto wasipate shida ukiwa haupo Duniani.
 
Huna akili, wapi nimesema nisomeshewe?

Punguza bangi, na kunywa damu mbichi ya mnyama vinakufyatuwa akili unakuwa kama zuzu.
Na hapa hereunder ulikua unasema nini?

Wakati wa Nyerere tulisoma bure kwenye shule za umma pamoja na Watoto wa mawaziri

Yaani wewe unaona mfumo wa "kusomeshwa bure" na serikali ndio mfumo sahihi wewe uzae tu usifanye kitu sababu serikali inakusomesha bure?

Hili neno BURE ndio exactly linaonesha una mentality ya kufeli!

Exactly my point!
 
Ahahahaha...ofcz mi sina maisha kivilee chief..watoto wangu wa 4...sikai nyumba ya kupanga...shule ya 1.2m kwa kila mtoto nina uwezo wa kupambana nazo..gari kwa ulimwengu wa leo ni nyenzo muhim ya kaz so hata sionagi big deal suala la mtu kumili usafir
 

Hahahahaa,nakuelewa!

Ila hizo ni za sasa unaweza

Nataka kujua ulipokua 20's,ada,matibabu,nyumba,etc ilikua ya high level hivi?

No way!

Ulikua unaokoteza

Ni wrong decision kuleta mwanadamu hapa duniani ukiwa unaokoteza!
 
Umeongea ukweli. Kiukweli kabisa kwa pato halali kwa kundi kubwa hapa bongo bila 50+ hutoboi
 
Wewe ni chizi siyo bure, hata sasa shule za umma elimu bure.

You're listening too slowly.
 
Hahahahaa,nakuelewa!

Ila hizo ni za sasa unaweza

Nataka kujua ulipokua 20's,ada,matibabu,nyumba,etc ilikua ya high level hivi?

No way!
😂😂😂
Sasa kwa sis wapambanaji huwez kwepa kuokoteza wakat unajitafuta.
Unajua nini, there is no perfect enviroment kwa mpambanaji so hupaswi kusubiri maana hakuna siku mazingira yatakua sawa kwa 100%. Hivyo basibsikua na sababu ya kusema nisubiri nipate pesa ndio nizae maana kadir unavyo ongeza kipato na ndio matumiz yanaongezeka
 
Wewe ni chizi siyo bure, hata sasa shule za umma elimu bure.

You're listening too slowly.
Unaona maPhD mnavyopaniki?

Mzee baba,umesema system ndio mbaya maana zamani mlisoma buree,nikasema hili taahira linadhani lizae serikali ilisomeshee BURE?

Jipange huko,zaa wanadamu wasomeshe maana umewaleta wewe kwa hiyari yako,usitegemee kodi zetu zisomeshe utombaji wako!

Kila mtu ajitegemee!
 
Hio ni kwa walioajiriwa. Sisi tuliojiajiri hio haiko applicable. Tunachokifanyabni kuhakikisga una uwekezaji mzuri ambao utawezesha hayo mambo hata ukiwa at 60s. Ni kuvuta kibunda na ku clear. Hata ukifa ukawaacha watoto hawajamaliza chuo, hakikisha unaandaa wosia mapema, miradi utakayoicha itawafanya waishi vizuri. Kwetu, kuzeeka au kufa sio kukatika kwa mirija ya wanaotutegemea.

Huwa namzoom sana Model wangu KRIS LUKOSI, na wale mabinti zake. Kiukweli si wakuwa kama watu wa umri wake walivyo na watoto wakuwa. Ila jamaa kashaandaa mazingira mazuri hata asipokuwepo mambo yatasonga tu. Sasa si lazima uwe wealth kama yy hata ukiwa na miradi yenye thamani ya robo tatu tu, inatosha sana. Kikubwa wapambanaji wenzangu tuendelee kuwekeza uzee unakuja.
 
Kwa sisi wafanya biashara ambao tunaitumabpesa ikalete tesa. Hakuna kustaafu wala kiinua mgongo. Ni kuweka misingi imara ya biashara zetu tu. Tukigoga 50 ni kusoma email za vijana tu sisi tukiwa mombasa na totoz
 
[emoji23] wanasema kwanini ujenge na una uwezo wa kulipia kodi bila kusumbuka?

Ila je, ukijakata moto ghafla, utaachaje mke na watoto?
Sifa ya mwanaume ni kuwa na mji wake sio kupanga. Ukifa ukaacha familia hakikisha unaacha na mji nyumba yako. Hio ndio alama itakayoishi kuwa pale ni kwa marehemu flani.

Nipo kwenye ujenzi japo nime fail kupaua🥲
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…