Allen Kilewella
JF-Expert Member
- Sep 30, 2011
- 18,330
- 33,954
Kuna "spinning" ya hatari inafanyika kuonesha kwamba watu wana wivu. Siye wengine hata kuwahi kuzisoma hizo nyumzi hatujawahi kuzisoma zaidi ya leo kuona vichwa vyake vya habari vilivyowekwa na NDIZIMSHALE .
Nadhani hoja si kwamba hawaamini kwamba Parabora yupo Uswizi bali bandiko la Ndizi mshale limepata nguvu pale alipoonesha kwamba Parabora alikuwa amerekebisha mabandiko yake ya awali. Swali la msingi ni kwa nini alifanya marekebisho kwenye mabandiko yale??
Mambo ya kusema kwamba watu wana wivu ni "Spinning" za kijinga tu!!
Watu wanahofu kama mtuhumiwa alikuwa na lengo baya vile!!