Lifahamu jiji la Geneva nchini Switzerland kwa undani

Siwezi umizwa kwa Upuuzi huu Mkuu
.
Umeombwa utume picha mjadala uishe, we hutumi, Sas nani anaonekana Mpuuzi we na ndizimshale

Sent using Jamii Forums mobile app
Siwezi kutuma picha kwa msukumo wa watu, huo ni upuuzi? Na why ufatilie habari za kipuuzi relax mkuu utajiongezea mapresha bure..nitatuma kwa hiari yangu ila sio kwa kulazimishwa
 
Yaani upige
picha ambayo sura yako haionekani halafu software ifanye ionekane!? Acha mzaha ndugu. Hivi upige picha ya kuanzia shingoni au kifuani kuelekea chini halafu software iweke sura! Wewe acha upimbi.
Hukunielewa halafu umeongea Kama umenielewa lakini siwezi kupiga picha kisa wewe umesema, RELAX mkuu hata nikiweka humu haitakusaidia kitu
 
Sio wote wenye mentality na reasoning kama ya kwako. Fikiria pia na kundi la watu ambao hawana strong reasoning na wako desperate kwenda ughaibuni.

Mfano, in case kweli huyu jamaa alikuwa na nia ovu ya kutapeli wale watakaoomba 'connection' ya kusaidiwa kurahisishiwa 'mchakato' mzima wa kwenda ughaibuni, ni watu wangapi wangelizwa?

Inshu hapa sio kwamba eti kuchuja na kuchukua yale yanayokufaa na mengine kuachana nayo, la hasha!

The issue is... Je, hiyo pretending yake na kuaminisha watu kuwa yupo Ulaya ilihali hayupo huko, ingeleta athari gani kwa followers wake humu jf?

Na je, kama kweli hayupo huko Ulaya, unaamini vipi authenticity/reality ya taarifa anazotoa? What if watu waka-react na kuchukua hatua basing on his unreal info?

Pretending ya type hii, ukipima mzania, kwa jamii ya wasomaji ina madhara zaidi kuliko faida.

Na wale wote mnaotetea huu ujinga, you are either of unsound mind or compromised!

My common sense just aborts to support such cheap bullshtt.

-Kaveli-
Mkuu wapi nimesema natoa connection, ninachohakikisha mtu akifika hapa GENEVA nitampokea
 
Hivi hizi ishu za kujilipua ni ngeni humu mkuu? Yaan leo huyo parabora ndo akufanyie mishe wewe uende nje?? Mbona kuna nyuzi maalum kabisa humu za jinsi ya kufika huko?? Anakutapelije ?.kwamba umpe hela au? Poh!

Hoja yako haina mashiko.

Hata kama inshu za kujilipua sio ngeni humu jf, kwahiyo kila member aliyesoma na kuziamini nyuzi za Parabora ni mwenyeji humu jf? Je unafahamu jf inapata new members/readers wangapi on daily basis? Why unaamini kwamba jf members/readers wote ni wenyeji na wanazijua issues zote zinazojadiliwa humu?

Huamini na unauliza kwa mshangao kwamba huyo Parabora ndo amfanyie mtu mishe aende nje?!!! Maono yako yanagongana yenyewe kuhusu huyo Parabora. It seems huelewi unachokitetea na vile vile huelewi usichokitetea. Sasa ili uendelee kushangaa vyema, angalia/soma kwa makini kifuatacho kisha unieleze umegundua nini, na unijibu je Parabora anaweza ama hawezi kumfanyia mtu mishe ya kwenda nje??:
IMG_20200513_205009.jpg

Faking ya Parabora ni trap! Inatrigger wale walio desperate kujilipua ulaya waombe 'connection' ya kurahisishiwa 'mchakato'. Faking yake ina kila indicator ya kupiga watu hela. Na huwezi jua atakayeingia mtegoni ni nani, aweza kuwa kaka yako mwenye ndoto za kwenda Ughaibuni, au jamaa yako au mpendwa wako yeyote mwenye uroho wa kujilipua ng'ambo.

Use your free mind to think of this.

-Kaveli-
 
Mavi-jana ya Kitanzania ni mapumbavu yakipata ajira serikalini yanaanza kujimwambafay, hayajui sisi tulioko kwenye NGOs tunakula good time ile mbaya! Ukute hata kimshahara chenyewe laki 8 lakini majigambo sasa!
Mkuu watu wa namna unatakiwa uwafanye wakuone wewe mjinga na wao wawe waelevu hapo ndio mtaelewana la sivyo mtabishana milele
 
Najua wazungu wanakula ma mikate mikate na mboga mbichi za majani, vipi nikihitaji kula nguna kama lile la kule usukumani ambalo kidole hakiwezi kupenya...
 
Hoja yako haina mashiko.

Hata kama inshu za kujilipua sio ngeni humu jf, kwahiyo kila member aliyesoma na kuziamini nyuzi za Parabora ni mwenyeji humu jf? Je unafahamu jf inapata new members/readers wangapi on daily basis? Why unaamini kwamba jf members/readers wote ni wenyeji na wanazijua issues zote zinazojadiliwa humu?

Huamini na unauliza kwa mshangao kwamba huyo Parabora ndo amfanyie mtu mishe aende nje?!!! Maono yako yanagongana yenyewe kuhusu huyo Parabora. It seems huelewi unachokitetea na vile vile huelewi usichokitetea. Sasa ili uendelee kushangaa vyema, angalia/soma kwa makini kifuatacho kisha unieleze umegundua nini, na unijibu je Parabora anaweza ama hawezi kumfanyia mtu mishe ya kwenda nje??:
View attachment 1449374

Faking ya Parabora ni trap! Inatrigger wale walio desperate kujilipua ulaya waombe 'connection' ya kurahisishiwa 'mchakato'. Faking yake ina kila indicator ya kupiga watu hela. Na huwezi jua atakayeingia mtegoni ni nani, aweza kuwa kaka yako mwenye ndoto za kwenda Ughaibuni, au jamaa yako au mpendwa wako yeyote mwenye uroho wa kujilipua ng'ambo.

Use your free mind to think of this.

-Kaveli-
😄😄Mimi siombi mtu pesa, Kama yupo mwenye uthibisho huo alete RELAX mkuu utaumia bure, Kama unaona maandiko yangu hayakufai yapuuze
 
Psychologist wanasema behaviour reveals a lot about a person character and thinking ata akijaribu kuficha.

Mtu ana anzisha thread kutaka kuonyesha tu fulani hayupo huko alipo sasa unafaidika nini awepo asiwepo; mtaani kwetu tunamsemo ‘maumivu ya kichwa uanza polepole ukitaka kufuatilia maisha ya watu’..
 
Back
Top Bottom