Jiji la Arusha halina Kituo cha Mabasi wala Soko lolote linaloendana na hadhi ya jiji hilo

Beginning

JF-Expert Member
Aug 21, 2023
879
2,361
1. Tukianza na stendi ya mkoa ni aibu tupu haifai kuitwa stendi ya jiji linalosifiwa na wengi kuwa ni Geneva ya afrika.

2. Masoko, Mfano soko la kilombero, soko la samunge, soko kuu na soko mjinga ndugu zangu ukifika maeneo haya unaweza kudhan umevamia kambi za wakimbiz huko yemen & Afghanistan ni aibu tu.

3. Kwa masikitiko zaidi jiji hili linazidiwa hadi na baadhi ya manispaa changa kabisa kwenye miundombinu hii.

4. Swali, Pesa za halmashaur ya jiji zinaenda wapi? Jiji limesimama kwenye miundombinu ya kijamii kwa muda mrefu sasa,Sekta binafs ndo zinalibeba jiji hili kwa sasa.

5. Uongozi, Ndani ya jiji hili kila kiongoz anaajenda zake mkuu wa wilaya haelewek,mbunge haelewek,mkurugenz wa jiji haelewek yaan uongoz ndan ya jiji ni zero

6. Ushauri, Serikali kuu ilitazame hili jiji kwa jicho la tatu mambo mengi ni ovyo.

Mwisho jiji hili likiweza kuendana na kasi kama ya jiji la Dar & Dodoma litachangia pakubwa sana kwenye maendeleo ya Tanzania.

Na declare interest mimi ni mkaz wa jiji hili kwa miaka 15 sasa kwa hiyo nimeandika ninachokijua.

Nanatumaini hili litafanyiwa kazi kwasababu najua viongoz wengi mpo hapa jamiiforum.
 
Mimi siku ya kwanza nafika arusha nikashangaa sana ile stendi ... yaan nkajua ndo stwnd ndogo ya daladala. Af vidaladala vidogo hakuna hata kosta. Jiji lenye watu wengi hv tunapanda daladala fupi vile hata ukikosa siti huwez kusimama .... kwa kweli bado ni changamoto sana
 
Tatizo la Arusha yetu ni siasa za kipuuzi na ukabila. Ile kasumba ya ubinafsi ya wale machalii wa R wanaojifanyaga wamechanganyikiwa iko hadi kwenye uongozi wa jiji.

Hata kabla ya Gambo kuwa RC waliokuwepo walikuwa na misuguano ya kijinga mno. Kuna siasa za fitina zilizopitiliza. Kwa sasa Gambo ana timu yake, mkuu wa mkoa yake, Meya yake na mkurugenzi yake.

Yaani upinzani uliopo ndani ya CCM Arusha ni mkali kuliko hata wa CCM na CHADEMA. Uongozi wa CCM na serikali iwatazame kwa jicho kali vinginevyo 2025 Lema atapita kirahisi kwenye ubunge.
 
Mkiambiwa Wanasiasa hawapo kwaajili ya wananchi muwe mnaelewa.

Lema aliwahi kuwa mbunge kupitia CHADEMA hapo Arusha kwa muda mrefu tu lakini alifanya Nini?

Gambo ana miaka mingapi Sasa tangu awe mbunge hapo? Amefanya Nini Cha maana?

Wateule wa Rais nao wakifika Arusha, wanagombana tu badala ya Kufanya kazi.

Rotten system will never deliver any positive outcome.

Naamini njia pekee ya ku tranfom nchi hii ni kupitia uongozi wa authoritarian.

Ole wenu niwe Rais.
 
Tatizo la Arusha yetu ni siasa za kipuuzi na ukabila. Ile kasumba ya ubinafsi ya wale machalii wa R wanaojifanyaga wamechanganyikiwa iko hadi kwenye uongozi wa jiji. Hata kabla ya Gambo kuwa RC waliokuwepo walikuwa na misuguano ya kijinga mno. Kuna siasa za fitina zilizopitiliza. Kwa sasa Gambo ana timu yake, mkuu wa mkoa yake, Meya yake na mkurugenzi yake. Yaani upinzani uliopo ndani ya CCM Arusha ni mkali kuliko hata wa CCM na CHADEMA. Uongozi wa CCM na serikali iwatazame kwa jicho kali vinginevyo 2025 Lema atapita kirahisi kwenye ubunge.
Viongoz weng hapa Arusha wanatanguliza maslah binafs mbele wengi ni self seekers/opportunists.
 
Mkiambiwa Wanasiasa hawapo kwaajili ya wananchi muwe mnaelewa.

Lema aliwahi kuwa mbunge kupitia CHADEMA hapo Arusha kwa muda mrefu tu lakini alifanya Nini?

Gambo ana miaka mingapi Sasa tangu awe mbunge hapo? Amefanya Nini Cha maana?

Rotten system will never deliver any positive outcome.

Naamini njia pekee ya ku tranfom nchi hii ni kupitia uongozi wa authoritarian.

Ole wenu niwe Rais.
Tena kipind cha lema mambo ndo yalikuwa ovyo kabsa kiasi kwamba serikali ilikuwa haina muda na mkoa huu.
 
Viongoz weng hapa Arusha wanatanguliza maslah binafs mbele wengi ni self seekers/opportunists.
Huwa naona mtandaoni sijui Meya kaja na program ya usafi na kupita na mafagio mtaani. Sio mbaya lakini kwa hadhi yake si angehamasisha kwanza ujenzi wa stand kupitia baraza la madiwani. Sijaona legacy itakayoachwa na uongozi wa jiji.
 
Kabisa anadili tu na usafi na kuandaa marathon hakuna kingine.
 
Tena kipind cha lema mambo ndo yalikuwa ovyo kabsa kiasi kwamba serikali ilikuwa haina muda na mkoa huu.
Kwanza ukichunguza utagundua hakuna vyama vya upinzani Tanzania. Nathubutu kusema CHADEMA, CUF, ACT Wazalendo nk, yote ni matawi ya CCM. Wanatuchezea tu akili zetu.

Budget ya kuendesha Demokrasia isiyo na tija katika nchi changa Kama Tanzania Ni kubwa kiasi kwamba ingetosha kugharamia miradi muhimu ya Maendeleo ya wananchi dhidi ya umaskini. Hivyo Hakuna manufaa toungible ya uwepo wa hivyo vyama vinavyodai ruzuku ya mabilioni annually.
 
Mkiambiwa Wanasiasa hawapo kwaajili ya wananchi muwe mnaelewa.

Lema aliwahi kuwa mbunge kupitia CHADEMA hapo Arusha kwa muda mrefu tu lakini alifanya Nini?

Gambo ana miaka mingapi Sasa tangu awe mbunge hapo? Amefanya Nini Cha maana?

Rotten system will never deliver any positive outcome.

Naamini njia pekee ya ku tranfom nchi hii ni kupitia uongozi wa authoritarian.

Ole wenu niwe Rais.
Wewe hujui chochote.
Hujui hata majukumu ya mbunge.

Lema alikuwa anakubalika (na mpaka leo hii bado anakubalika) Arusha kwa kuwa alikuwa anasimama na wananchi wa Arusha kupambana dhidi ya watawala wa CCM wanaokumbatia hayo mambo duni.

Unajua ni kwanini Gambo analaumiwa na kila mtu hapo Arusha? Jibu ni moja tu, Gambo ameshindwa kuwapambania wananchi dhidi ya mazingira na miundo mbinu duni ya Arusha kama alivyokuwa akifanya Lema, lakini pia wananchi wameshindwa kumuelewa Gambo anapolalamika mamlaka za juu za mkoa kushindwa kurekebisha mambo wakati hapo kabla Gambo alikuwa mkuu wa hizo mamlaka na hakuweza kurekebisha chochote zaidi ya kuweka pamba masikioni ili asisikie kelele za wanaArusha.
 
Mkiambiwa Wanasiasa hawapo kwaajili ya wananchi muwe mnaelewa.

Lema aliwahi kuwa mbunge kupitia CHADEMA hapo Arusha kwa muda mrefu tu lakini alifanya Nini?

Gambo ana miaka mingapi Sasa tangu awe mbunge hapo? Amefanya Nini Cha maana?

Wateule wa Rais nao wakifika Arusha, wanagombana tu badala ya Kufanya kazi.

Rotten system will never deliver any positive outcome.

Naamini njia pekee ya ku tranfom nchi hii ni kupitia uongozi wa authoritarian.

Ole wenu niwe Rais.
You nailed it.
 
Back
Top Bottom