Lifahamu jiji la Geneva nchini Switzerland kwa undani

Kuna "spinning" ya hatari inafanyika kuonesha kwamba watu wana wivu. Siye wengine hata kuwahi kuzisoma hizo nyumzi hatujawahi kuzisoma zaidi ya leo kuona vichwa vyake vya habari vilivyowekwa na NDIZIMSHALE .

Nadhani hoja si kwamba hawaamini kwamba Parabora yupo Uswizi bali bandiko la Ndizi mshale limepata nguvu pale alipoonesha kwamba Parabora alikuwa amerekebisha mabandiko yake ya awali. Swali la msingi ni kwa nini alifanya marekebisho kwenye mabandiko yale??

Mambo ya kusema kwamba watu wana wivu ni "Spinning" za kijinga tu!!

Watu wanahofu kama mtuhumiwa alikuwa na lengo baya vile!!
 
Hoja yako haina mashiko.

Hata kama inshu za kujilipua sio ngeni humu jf, kwahiyo kila member aliyesoma na kuziamini nyuzi za Parabora ni mwenyeji humu jf? Je unafahamu jf inapata new members/readers wangapi on daily basis? Why unaamini kwamba jf members/readers wote ni wenyeji na wanazijua issues zote zinazojadiliwa humu?

Huamini na unauliza kwa mshangao kwamba huyo Parabora ndo amfanyie mtu mishe aende nje?!!! Maono yako yanagongana yenyewe kuhusu huyo Parabora. It seems huelewi unachokitetea na vile vile huelewi usichokitetea. Sasa ili uendelee kushangaa vyema, angalia/soma kwa makini kifuatacho kisha unieleze umegundua nini, na unijibu je Parabora anaweza ama hawezi kumfanyia mtu mishe ya kwenda nje??:
View attachment 1449374

Faking ya Parabora ni trap! Inatrigger wale walio desperate kujilipua ulaya waombe 'connection' ya kurahisishiwa 'mchakato'. Faking yake ina kila indicator ya kupiga watu hela. Na huwezi jua atakayeingia mtegoni ni nani, aweza kuwa kaka yako mwenye ndoto za kwenda Ughaibuni, au jamaa yako au mpendwa wako yeyote mwenye uroho wa kujilipua ng'ambo.

Use your free mind to think of this.

-Kaveli-

Umeshinda! Naona umehemkwa sana! Bye
 
IMG_20200513_213957.jpg


-Kaveli-
 
Hivi hizi ishu za kujilipua ni ngeni humu mkuu? Yaan leo huyo parabora ndo akufanyie mishe wewe uende nje?? Mbona kuna nyuzi maalum kabisa humu za jinsi ya kufika huko?? Anakutapelije ?.kwamba umpe hela au? Poh!
Kila tapeli anamnyonge wake mkuu kuna wengine ndiyo uzi wa kwanza kauona huu akajilipua kweli lahaula analiwa.



Sent using Jamii Forums mobile app
 
Sawa mkuu Mimi ni tapeli na nauza samaki hapa yombo dovya, karibu nikuhudumie
embu kata Mzizi wa Fitina
ID ya Ndizimshale ni mpyaaaaaaaa ime sajiliwa leo na ika leta uzi leo na ime comment mara mbili tu kwenye ule uzi hii maana yake ni kua kuna member ambae ni mkongwe kaamua kukulipua kwa ID mpya na kwa kua lengo lake lime timia kaamua kuuacha ule uzi na sasa hivi ana tumia ID yake ya Zamani as usual ana kusanifu tu apa
ulitoa ahadi ya kuleta evidence lakini ilo ume amua kulisitisha bado wanao endelea kukutuhumu ni wengi mimi ombi langu post picha inayo onesha uhalisia wa eneo ambalo upo mfano mzuri ali post urban gentleman kwa kupiga picha chupa ya bia dirishani


Do the Same man

Sent using Xiaomi Redmi Note7 Pro
 
mkuu wengi wanachukua kibali cha mda cha kuishi mataifa ya karibu na kibali cha kudumu cha kufanya kazi na kuishi nchini uswisi pale boda ukionesha unaruhusiwa
Mkuu mbona maelezo yako yana utata Uswizi iko EFTA European Free Trade Association na Schengen japo haiko European Union lakini iyo EFTA na Schengen imetosha kwenye makubaliono of free movement without border checks. Hakuna kabisa Uswizi kuangalia vitambulisho ama kukagua vitambulisho.kumbuka Uswizi ni landlocked.

Nchi za EFTA ni Uswizi, Liechtenstein, Iceland na Norway wote hawapo EU japo Schengen lakini makubaliano yao kwenye treaties raia yeyote kutoka EU na EFTA countries have freedom of movement and work without restrictions


Victoire TODAYS
 
Mkuu mbona maelezo yako yana utata Uswizi iko EFTA European Free Trade Association na Schengen japo haiko European Union lakini iyo EFTA na Schengen imetosha kwenye makubaliono of free movement without border checks. Hakuna kabisa Uswizi kuangalia vitambulisho ama kukagua vitambulisho.

Nchi za EFTA ni Uswizi, Liechtenstein, Iceland na Norway wote hawapo EU japo Schengen lakini makubaliano yao kwenye treaties raia yeyote kutoka EU na EFTA countries have freedom of movement


Victoire TODAYS
Mzee umeelewa nilichozungumza? Hapo nimesema kwa mhamiaji
 
Mzee umeelewa nilichozungumza? Hapo nimesema kwa mhamiaji
Hata muhamiaji hawangalii vibali kwenye border. Ni ndege tu kutoka third world and non EU countries zikifika port of entries wanakaguliwa Schengen visa kama wanazo. Kama ndege kutoka EU na kunawahamiaji hawakaguliwi. Sometimes border guards wanaweza kukusimamisha kukagua na hii si kwa wahamiaji tu bali kwa kila abiria regardless of their European nationalities .

Problem comes if you overstay over 3 months unaweza kuwa deported
 
Umeshinda! Naona umehemkwa sana! Bye

Kwa ninavyokufahamu humu jf, haiwezekani akili zako ziende likizo to such extent.

You are compromised by such poor lair. Either, you both are sailing on the same vessel to the dreamed Geneva.

Au possibly ndiyo tayari ushaliwa kimasihara by someone ambaye uliambiwa kuwa ni his colleague kwenye 'connection' based in Tz, kumbe ndiyo Parabora mwenyewe. 😂😂

-Kaveli-
 
Kwa ninavyokufahamu humu jf, haiwezekani akili zako ziende likizo to such extent.

You are compromised by such poor lair. Either, you both are sailing on the same vessel to the dreamed Geneva.

Au possibly ndiyo tayari ushaliwa kimasihara by someone ambaye uliambiwa kuwa ni his colleague kwenye 'connection' based in Tz, kumbe ndiyo Parabora mwenyewe. 😂😂

-Kaveli-
Naam the last emperor mwenyewe huyoo
 
Hata muhamiaji hawangalii vibali kwenye border. Ni ndege tu kutoka third world and non EU countries zikifika port of entries wanakaguliwa Schengen visa kama wanazo. Kama ndege kutoka EU na kunawahamiaji hawakaguliwi. Sometimes border gyards wanaweza kukusimamisha kukagua na hii si kwa wahamiaji tu bali kwa kila abiria regardless if their European nationally.

Problem comes if you overstay over 3 months unaweza kuwa deported
Kutoka Anness to Cornavin unapanda ndege mbona unazingua mkuu?
 
Kwa ninavyokufahamu humu jf, haiwezekani akili zako ziende likizo to such extent.

You are compromised by such poor lair. Either, you both are sailing on the same vessel to the dreamed Geneva.

Au possibly ndiyo tayari ushaliwa kimasihara by someone ambaye uliambiwa kuwa ni his colleague kwenye 'connection' based in Tz, kumbe ndiyo Parabora mwenyewe. 😂😂

-Kaveli-


😄😄😄😄! Sawa!
 
Sasa si nimekufafanulia inland hukaguliwi regardless you are illegal immigrant, European Union passport holders na hata mswizi mwenyewe. Ukaguzi wa vibali unakuwepo tu uwanja wa ndege kwa abiria wanaotoka non EU countries pekee
Mkuu unaelewa lakini hapo Anness nimetoka mwezi wa 3 na nimekaguliwa ndugu wewe hizi habari zako yawezekana umegoogle umelishwa tango pori na naona unachobishana ni kilekile ninachozungumza mimi
 
20 Reactions
Reply
Back
Top Bottom